MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Heri ya mwaka mpya wadau.. Leo ningependa mnisaidie kutambua madhara yatokanayo na kufanya tendo la ndoa wakati wa hedhi. Madhara kwa pande zote mbili yaani mwanaume na mwanamke!! Asanteni
 
Heri ya mwaka mpya wadau.. Leo ningependa mnisaidie kutambua madhara yatokanayo na kufanya tendo la ndoa wakati wa hedhi. Madhara kwa pande zote mbili yaani mwanaume na mwanamke!! Asanteni

Kwa mwanamke ni km iko poa kwan madhara anayeyaleta ni mwanamke...
ukilizamisha tu dushelele ktk zile damu litaanza kutoa usaha. trust me, utasusa kuvaa chupi na antibiotic 30 vidonge lzm umeze
 
almost madhara kwa mwanamke hakuna ila kwa mwanaume risk of infection ni kubwa kama mwanamke ana HIV/AIDS maambuki kwako yatakuwa makali
 
Habari!

Ndugu zangu kwanza naomba niwatakien kazi njema pia naomba kwa Leo nijifunze au tujifunze. Hivi unaweza kupata madhara gani ukifanya mapenzi na mwanamke ambae yupo katika siku zake?

Tafadhali nataka kujua!
 
Ukifanya na Mwanamke yupo kwenye siku zake Za Hedhi kama atashika mimba basi mtoto atakaye zaliwa anaweza kuzaliwa na maradhi ya ukoma au wewe ukapata matatizo ya Ukosefu wa nguvu zako za kiume.

Damu ya Mwanamke ya hedhi inaweza kukuharibia wewe nguvu zako za kiume tahadhari sana.
 
ukifanya na Mwanamke yupo kwenye siku zake Za Hedhi kama atashika mimba basi mtoto atakaye zaliwa anaweza kuzaliwa na maradhi ya ukoma au wewe ukapata matatizo ya Ukosefu wa nguvu zako za kiume damu ya Mwanamke ya hedhi inaweza kukuharibia wewe nguvu zako za kiume tahadhari sana.

Mmh! Daktari Embu nipe ufafanuzi kidogo kisayansi huu uhusiano wa damu ya hedhi na nguvu za kiume. Unakujaje hapo?
 
Mmh! Daktari Embu nipe ufafanuzi kidogo kisayansi huu uhusiano wa damu ya hedhi na nguvu za kiume. Unakujaje hapo?
Mkuu hii nimefanya mimi uchunguzi wangu sio uchunguzi wa kisayansi Damu ya Mwanamke anapokuwa yupo kwenye siku zake ina madhara ukifanya nae mapenzi.

Hata katika dini yangu inakataza Mwanamke akiwa yupo kwenye siku zake za hedhi unatakiwa uwe nae mbali kwani Damu ya hedhi ni uchafu wa Mwanamke unaotoka kila mwezi anapotowa hiyo damu ukiweza wewe fanya utafiti.

Kama una mpenzi wako wa kike akiwa katika siku zake za hedhi fanya nae mapenzi pasipo na kutumia Kondom kisha uje hapa utupe feedback.

Unasemaje Mkuu xfactor
 
Mmh! Daktari Embu nipe ufafanuzi kidogo kisayansi huu uhusiano wa damu ya hedhi na nguvu za kiume. Unakujaje hapo?
Utafiti wa kisayansi umethibitisha kuwa wakati huo mwanzo mwanamke anakuwa ni kama mgonjwa na kumuingilia kunamuumiza na ni madhara kwa mume na mke mwenyewe, kwani vidudu huenda vikaingia na mwanamke akakosa kuzaa kabisa na pengine mume mwenyewe kupata ugonjwa kwani damu huwa imebeba vidudu vingi.

Ilimu za kisasa zimethibitisha kuwa wakati wa hedhi yanaweza kuwa madhara kwa kuwa zalio huweza kupata maradhi pindi likiingiliwa na vidudu vya maradhi, ambavyo ni vyepesi kuingia wakati wa kuingiliana na mwanamume.

Maradhi hayo huenda yakasababisha mwanamke asiweze kuzaa. Mwanamume naye huambukizwa maradhi hayo kutokana na mwanamke kwa kupitia njia za mkojo, na maradhi yakapanda juu mpaka mafigo yakaharibika, na kuathirika vyombo vya uzazi, na mwanamume naye akawa hawezi kutia mimba.

Maradhi haya huleta machungu makubwa. Watu walikuwa hawajui, lakini Mwenyezi Mungu anajua kila kitu. Na mwanamke anapo kuwa na damu anakuwa hana raghba ya kuingiliwa, basi kumuingilia wakati huo huenda kukamletea hali ya nafsi mbaya na chuki kwa jambo hilo.
 
Hata akitumia kondom bado atapatwa na hayo magonjwa?
Mkuu Prezidah Umeshajibiwa na mkuu kkenzki (Mtu mwenye akili timamu sitegemei afanye ilo tendo) Je wewe unaweza kumuingilia Mke wako au mpenzi wako akiwa kwenye siku zake?

Mtu mwenye akili timamu sitegemei afanye ilo tendo
Ni Kweli mkuu kkenzki Mtu Mwenye akili Timamu haweza kufanya mapenzi na mke wake au mpenzi wake akiwa kwenye Damu ya Hedhi.
 
ukifanya na Mwanamke yupo kwenye siku zake Za Hedhi kama atashika mimba basi mtoto atakaye zaliwa anaweza kuzaliwa na maradhi ya ukoma au wewe ukapata matatizo ya Ukosefu wa nguvu zako za kiume damu ya Mwanamke ya hedhi inaweza kukuharibia wewe nguvu zako za kiume tahadhari sana.
Dah! Nashukur ndug ww pia ni mmoja wao kat ya watu walionishaur vzur kiukwel me nilishawah kufanya hvyo wk chache zlizopta
 
Back
Top Bottom