Threesome ndio kila kitu wanawake wawili halafu na wewe.. Japo sijawahi ila that's my fantasy ya kila siku.. Pakuanzia sijui maana kila ukimwambia anataka dau kubwa uwalipe wote wawili
Hii kitu wanawake hawafahamu tu starehe yake kwa mwanaume. Wangekuwa na akili hawa wadangaji walioikosa ndoa wangejiunga hata watatu wanamtamfuta bachelor m'moja wanamuomba kuwa wao wapo tayari kuishi nyumba moja chumba kimoja awastiri waishi nae kama wake zake. Hiyo ni offer ambayo hakuna mwanaume atakataa.
Sasa wao mambo wanayofanya huwa hata sielewi wanatumia akili ipi. Yaani wanawake wakibongo bwana wapo very uncreative na unprofessional.
Ukimtoa out anakuja na wenzake sasa sijui kuna mwanaume gani huwa anafurahia hiyo kitu.
Akishachoka mwili na umri umeenda au kazaa sasa hana utamu tena ndio anataka kusettle na mwanaume tena anajifanya anajua mapenzi ya njiwa balaa, mwanaume gani anataka huu upuuzi wa kugandana na mwanamke ambaye amemkuta utamu umeshaisha.
Analeta mahaba baada ya kukununia au kukuletea ukauzu kisha ukaamua kumpa pesa ili alainike ndie nae anaweka sura ya mahaba ni wapi uliona kuna mwanaume anafurahia kuwa na mwanamke ambaye furaha yake huja baada ya kupewa kitu kwanza.
Mkiwa wachumba anataka kila kitu uanzishe wewe, kuomba gemu, salamu, kuomba chakula, kila kitu. Ukisha ishi nae na pengine mfunge ndoa na kupata mtoto hata m'moja ukaanza mzoea ukamuona wa kawaida ndio anaanza kulia lia kukutaka uwe na hisia nae na ukaribu nae.
Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo naona mademu wapo so unprofessional about.
Why huwa hamuelewi saikolojia ya mwanaume inapenda nini yet mnalalamika wanaume sijui hawaridhiki na blah blah zingine na wakati ni rahisi sana kumfurahisha mwanaume.