Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

Kwa haraka haraka nitakupa makadirio maana ndizo kazi zangu hizo chukua square meter za ramani yako times 500,000 utapata garama ya morden house with everything you need.

Kama hujaelewa nina maana Urefu X Upana X 500,000=Construction cost

Hapo nina maana unatumia mkandarasi.
Hivi sijaelewa urefu mara upana mara 500000. Mbona hela kubwa sana tutajenga kweli? Yaani nimejikakamua kutafuta kiwanja nkasema ujenzi taratibu ila nkipiga kwa hii formula nachanganyikiwa. 70*40*500000 ntasubiri sana aisee
 
Manyusi formula is applicable worldwide. Ingawa kwa sasa gharama zimepanda hadi 600,000 per smrt. Wengine wanatoa tu uzoefu wao wa ujenzi
 
Hivi sijaelewa urefu mara upana mara 500000. Mbona hela kubwa sana tutajenga kweli? Yaani nimejikakamua kutafuta kiwanja nkasema ujenzi taratibu ila nkipiga kwa hii formula nachanganyikiwa. 70*40*500000 ntasubiri sana aisee
Chukua ramani ya nyumba ndo zidisha na hiyo bei sio ukubwa wa kiwanja
 
Habarini wanajamvi Na wadau wa ujenzi,
Kuna kiwanja kinauzwa maeneo ya Kibada, Kigamboni DSM
Ukubwa wake Ni sq mita 1047
Kina fensi nzuri ya ukuta tayari
Kina hati Na building permit
Bei Ni Tsh 70 milioni
 
Siku zote huwa namuheshimu sana mtu anaefanya kitu kama hiki......hata kama ni room moja........anastahili pongezi.......heshima kwako sana mkuu.......wenzio hiyo pesa ya kufanya hivyo wanaweka heshima bar.........
Kama ambavyo ninamuheshimu mwanamke ambae anaona pombe ya sifa na outing zisizolazima ni ufala,kama ambavyo nakuona wewe!...salamu kwa anaekumbatia hapo.
 
Binafsi naona kazi kubwa ni kuezeka finishing ni mbwembwe za mtu tu we weka milango na madirisha.
Nyumba ni kitu cha kuishinacho, huenda ukajenga mara moja tu katika maisha,ni muhimu kuimalizia ili usiichoke mapema na kujiona uko mahala pa kusinzia badala ya nyumbani
 
Back
Top Bottom