Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Teteeeheheee mlandizi tena mkuu tuwe ubungo kigambanino maisha yako speed
 
Weka picha mzee mkono mtupu aulambwi
 
Bora umemkosoa na uwongo wake kuhusu silaha za kivita. wengi wachangiaji ni bangi tuuu, jitu limeanza kuingia kwy kufatilia maswala ya kivita lakini anabisha kama hata kipindi cha miaka ya 90 na kushuka alifatilia maswala ya kivita kati ya Russia na USA

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Huu Uzi nahisi wanao comment ni wajeda tu. Haiwezekani mtu wa kawaida tu ukawa unajisomea aina za makomborq na nguvu zake halafu basi tu iishie hewani.
Ila nawashukuru kuna elimu tunaipata hapa kutoka kwenu
Apa wachangiaji kutoka Lugalo,mgulani, ngerenge, kizuka na kambi nyingine

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Duuh kumbe iko hivi, huu uzi naweka kituo kabisa
 
Hayo maroli unayoyasema yako tofauti na malori tunayoyajua.
 
Humu watu wengi either hamuelewi au mnajiridhisha tu ili msipate pressure na kisukari .
Hakuna himmars Wala takataka yoyote unaweza kumsunbua Russia.
Kumbukeni vita inapiganiwa ndani ya Ukraine, jeshi la anga Ukraine limekwisha kabisa wanachofanya Ni Kama guerilla attack, wanaweka vituo temporary kupambana
Note, Russia anatumia akili ya juu sana ktk hii Vita ndio maana anatumia silaha nyingi za zamani na nyingine anapora humohumo, na anaadvance kila siku ktk hii Vita,
Ukitulia anakudunda taratibu na silaha za long ,ukija na silaha kubwa ,anakukumbusha kwa mzigo mkubwa,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji3538][emoji3538][emoji3538]After the city of Kramatorsk, the Russian army has a smooth road to Kiev ... So if Zelensky is smart and stops lying, he deals with surrender now[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
 
Source ?
 
Smerch ishatumika Sana na inaendelea kutumika dhidi ya Ukraine
Ni ajabu pia kusema Russia Hana hizo mashine za kurusha kombora Kama za Himmars.
 
Hivi vehicle Kama hiyo ya HIMMARS inaweza kukimbia na kupotea kutoka ilipokuwa imesimama baada ya kupiga kwa umbali gani?
Hiyo mashine ikiwa km 20 ikapiga na kujaribu kujificha kwa kukimbia kuepuka kupigwa Ni ngumu. Kule luhansk meya wao alisema warusi walikuwa wakipiga popote ilipotoka kombora la Ukraine kwa kusambaratisha eneo lote palipo na adui na pasipo adui ili kuhakikisha TU adui na silaha zake amekwenda.
Nb.
HIMMARS Zina mda mchache Sana was kudumu vitani dhidi ya Russia
 
Niambie silaha ya kimarekani ambayo Ni Siri Sana si Russia Wala China anaeijua.
Silaha zote si za Russia Wala Us zinajulikana kwa pande zote mbili.
 
Chai ya moto kabisa hii
 
Ungelikuwa unaweka na ushahidi wa picha au video angalau chapisho lako lingekuwa na muonekano bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…