Mizengo Kayanza Peter Pinda

Youngblood

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
19,316
56,323
Huyu mzee pamoja na mapungufu yake namkubli sana,anaishi maisha anayotaka mwenyewe,yani hana madoido kabisa.
Naikubali sana style ya maisha yake.
a725c7264aa304fa0166719d086ca290.jpg

8211e276225415f0ed11de102fbc21c4.jpg
 
Anawasiwasi gani,Huku kaasali,kule kang'ombe,pole ka zabibu,huko kashamba ka mbiga na vimahindi vya kuchoma kuongeza joto mwilini.Ukweli napenda maisha yake niyakawaida saana,hanatofauti na wengine waishio vijjjni-kasoro yeye alikua kiongozi tu.
Uko sahihi kabisa
 
Mungu aendelee kumbariki yeye pamoja na familia yake....hakika ni kiongozi wa kuiga nani wa mfano.....sie kama yule alie sema ataenda chunga ng'ombe naleo tunamuona anakatiza rami mjini......
Ww unataka lowasa akachunge mifugo au .kuna kitu hujakijua kuna watu wana asili ya umwinyi .mzee pinda anayapenda hayo maisha na siyo kwamba hana pesa
 
Back
Top Bottom