Tatizo kubwa katika nchi zetu za kiafrica ni kua malimbukeni,katika.hali ya kawaida ukitafakari andiko la Mange unaona haiba ya kujiamini kulipotukuka na pasi na hofu juu ya alichoandika mwandishi.. lakini kwa mujibu wa hali ilivyo,serikali za mataifa ya 3rd worldcountries zinamatatizo ya kuacha kufatilia habari za ukweli na kuzipa kipaumbele taarfa za uongo (rejea utendaji kazi wa bosi wako hapo ofisini) yaani wakuu wanapenda majungu kuliko ufanisi wa kazi,sasa hapa ndo kipimo kwa mh.rais kama the so called"jipu"litatumvuliwa au ndo fadhila za mzee wa jiji zitaendelea kuheshimika kwa kuacha allele zake ziendelee kutimbwilika..
My take
JPM mlinde kimambi akupe mauozo ya mawaziri na wengine ambao huna taarfa zao,tena ndo maana january hata hakujaza fomu kuwasilisha tume ya maadili maana yawezekana anauchafu mwngi sana.
Nawalaani waliompitisha 5 bora za ugombea urais na nawapongeza walioona mbali kumkatilia mbaali.
Note
JM ni mtu mkubwa wala sina hitilifu nae ila ukweli lazima usemwe