Mopao Mokonzi
Member
- Nov 22, 2013
- 10
- 11
Wakuu naomba mnishauri upi mzani mzuri kati ya digital au manual wenye uwezo up to 300kg. Pili ni wapi zinauzwa kwa Dar es Salaam. Asanteni
Upo wa digital wenye max. Ya 600kgs.ni pmWakuu naomba mnishauri upi mzani mzuri kati ya digital au manual wenye uwezo up to 300kg. Pili ni wapi zinauzwa kwa Dar es Salaam. Asanteni