sijui tuanze kwenda na mizani yetu buchani? Maana huu wizi umezidi
sasa wewe atakuaminije? km na ww unaiba balance?
Mkuu hapo sijui nani amwamini nani !
Wizi na uswahili umeliangamiza taifa hili misemo kama mtoto wa mjini, mjini shule, tutabanana humu humu, tule wapi nk ndo matokeo yake haya, ni misemo inayohalalisha ujinga na ushetanihatutakaa tuendelee kwa sababu ya wizi
ngekuwa mm hapo nampa na kichapo cha mbwa mwizi