MIXX BY YAS na misemo ya kihuni

MIXX BY YAS na misemo ya kihuni

Wenye kampuni hawana kosa ni watu ndio wanalitumia jina vibaya, hilo neno kwenye kiswahili halina maana hiyo wala halipo kabisa bali watu walitunga maana yao na kuanza kulisambaza
Mfano jina la makebo miezi mitano nyuma ilikuwa ni jina la kawaida tu humu ila baadhi ya watu wakatengeneza maana nyingine na sasa jina limekuwa kama lilivyo sasa
😁😁😁😁

secretarybird

LOTH HEMA
BEZO JR
 
Hakika. Jaza ujazwe Ina uhuni gani? Na kwanini wabongo waliita tupu ya nyuma Tigo? Mi naona wabongo ndo wenye shida. Wameacha kujiita Tigo Sasa hivi wamefuatwa huko mix by yas ikihusishwa na ufirauni!
Jamii inachangia kuharibu lugha, neno halisi ambalo lipo chanya tu
 
Hivi hakuna chombo chochote cha kufuatilia aina ya matangazo ambayo makampuni wanayaandaa kabla hayajatangazwa kwa umma?

Ilipokuwa ikiitwa TIGO hawa jamaa walituletea msemo kwenye tangazo lao usemao: JAZA UJAZWE. Huu msemo una ukakasi wa kihuni/kingono.

Sasa wamejibadili jina na kuwa Mixz by Yas. Jina tu ni la kihuni halafu wanatuletea msemo kwenye tangazo lao usemayo: IKIINGIA TU, GOLI! Maana yake nini kama si uhuni na ungono tu??

Serikali iwaangalie hawa wahuni wanatuharibia maadili!
Mixxed by nyaashi
 
  • Thanks
Reactions: Mu7
Back
Top Bottom