Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,879
Ji bapa na dompo
Konyagi unaikosea sana kuimix na vitu vya kijinga,- vi tonic, 7up, bitter lemon ma maji au hata coca. Konyagi raha yake ipige kavu kavu mazee. Kama vipi tengeneza cocktail yako mwenyewe - changanya na dompo, Amarula, au bia ya aina yeyote ile. hahaaaa. Ni raha iliyoje chalii yangu?
Huo ndio unywaji wetu. Sio cocktail hadi uende casino flani wakutengenezee mara sijui inaitwa nitembe, mara cappuchino, mara falmengo... Hapa ni kutengeneza yako, popote ulipo hata ndani ya chombo cha usafiri. Oh Jah Bless the drunkers ..yalah!
Au mchemsho aiseeBalaa mkuu na nyama choma pembeni...
nouma sana mkuu..Haya maisha ni matamu ila mafupiAu mchemsho aisee
Dunia inaraha hii
Hv kwann tunakufa
Chicha lake ni noma aiseeYani Dompo Na Nyagi Hatari
Au mchemsho aisee
Dunia inaraha hii
Hv kwann tunakufa