Mixer Za Konyagi

Konyagi unaikosea sana kuimix na vitu vya kijinga,- vi tonic, 7up, bitter lemon ma maji au hata coca. Konyagi raha yake ipige kavu kavu mazee. Kama vipi tengeneza cocktail yako mwenyewe - changanya na dompo, Amarula, au bia ya aina yeyote ile. hahaaaa. Ni raha iliyoje chalii yangu?
 
Aiseeeee nouma sana
Kwanza nkionaga tu bapa
Walaaa hyo bar swez kuipita
Bla kupunzka hapo

Huku kitimoto kama nusu hv
Iko jikon inachomwa dhoooo!!
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom