Mixer Za Konyagi

f5c274118392cbf808c7a128564b7b93.jpg
Tutafika tu!
 
Naona unaifuatilia sana hii mada. Hapo kwenye avatar ni konyagi na nini?

hahahahahha hamna alafu mie sipo kwenye unywaj wala ulev! hap ni cocktail ya alcohol inaitwa sunrise! very sweet ila inachukua balaa! suijui wanamix tequila na manini nini nazipendaga cz zinamixiwa na fresh juice yaan soo romantic
 
Niliwahi kunywa moja inaitwa " sex on the beach". Iko poa sana lakini so expensive..bora BALIMI yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom