Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
CCK ndio chama gani?Tambwe ni opportunist atahamia CCK.
CCK ndio chama gani?
Kutokana na kujiuzulu kwa Skretariat na Kamati Kuu ya CCM -- hivyo kujiuzulu kwa Makamba, mtu ninayemsikitikia ni Tambwe Hiza. Kilaza huyu kuwamo ndani ya CCM na kupewa mdomo mpana ambao kautumia vibaya kukimbiza wanachama ni kazi ya Makamba.
Sasa inavyoelekea kwamba Tambwe Hizza na watendaji wengine aliyowarundika Makamba ndani ya uongozi wa CCm katika mikoa/wilaya mbali mbali watakula kwao, maana atakuja Katibu Mkuu mwingine ambaye ni lazime asafishe uoza aliopandikiza Makamba.
Kuna yule mwngine Katibu wa Mkoa wa Dar, ambaye alikuwa anatumiwa sana na mafisadi sijui jina lake -- nadhani ni Kilumbe. Naye aanze kufungasha.
Nothing serious, politics as usual.whats going on
...really!!! sio habari nzuri kwetu wengine!!! hawa watu hasa Tambwe Hizza walikuwa nguzo muhimu sana kwa wapinzani wa CCM!! so assignment ya mwisho ya Tambwe ilikuwa juzi kubeba wale watoto na kuwapeleka Karimjee Hall saa 11 alfajili. Karibu tena CUF, Tambwe tena kule kuna wapenda mabwabwa wengi tu!!
Tambwe ni opportunist atahamia CCK.
Kwani hawezi kustaafu siasa na kufanya kile alichosomea? Hata sijui ameishia darasa la ngapi!!
Tambwe ni opportunist atahamia CCK.