miujiza!!!!

miujiza!!!!

Brown ad

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
345
Reaction score
205
Mshahara laki 2, lakini unamiliki BB
Z10,pochi ya laki na arobaini,umevaa
kiatu cha $ 120, unaendesha Vitz
halafu bado utaenda kanisani
kuomba Mungu akutendee miujiza
wakati tayari wewe mwenyewe
unatenda!hahahahaha
 
Mshahara laki 2, lakini unamiliki BB
Z10,pochi ya laki na arobaini,umevaa
kiatu cha $ 120, unaendesha Vitz
halafu bado utaenda kanisani
kuomba Mungu akutendee miujiza
wakati tayari wewe mwenyewe
unatenda!hahahahaha

Unaenda kuomba ALINDE MUUJIZA wako uendelee kuwepo
 
Mshahara laki 2, lakini unamiliki BB
Z10,pochi ya laki na arobaini,umevaa
kiatu cha $ 120, unaendesha Vitz
halafu bado utaenda kanisani
kuomba Mungu akutendee miujiza
wakati tayari wewe mwenyewe
unatenda!hahahahaha

hivi hujui kuwa wanawake tumekalia uchumi
hayo ndo matunda yake
 
kuna rafiki yangu wa kiume wakati nasoma alikuwa na msemo wake ''usishindane na mwanamke hata saiku moja''
ndo maana hata wanaume nao siku hizi wanakuwa wanawake.
 
'...nadhani hata wanaume uchumi wanao ila wanaukalia...................wengine wameamua kuwa mashuga baby wanawapanga tu mashuga the mummy unasugua zaidi ya ku-scratch halaf utaona miujiza inavyo-happen,use what ur MAMA gave ya'
 
Dah! Hiyo ya wanaume ni kizumbumkuti
 
huo sio muujiza ni wizi tu, na watu wa hivyo ni wa ccm ambao siowaadilifu hata kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom