Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,585
- 235,438
Kwanini uniambie maswali yangu ya kijinga??Nitoe majibu mara ngapi bibie ? Labda nijibu unavyotaka wewe.
Niambie unataka nikujibu vipi ? Ninekupa maelezo yaliyonyoka sana na mfano nikakupa ajabu unauliza swali ambalo jibu limeshatangulia.
Kwanini uniambie maswali yangu ya kijinga??
Naona huyo Muhammed kutokufufua mtu yeyote unaumia sijui..
Hilo najua lakini wewe unaonekana Kama unaumia...ukaanza kumwaga povu kwamba nani kasema muujiza wa uponyaji ndio mkubwa...Hili haliniumizi sababu Mola wetu humpa amtakae.
Na kila mitume walipewa miujiza yao kulingana na watu wao ili iwe sababu ya wao kuamini.
Rejea miujiza ya Yesu ile ilikuwa ili kukidhi haja,na hakufufua isipokuwa kwa idhni ya Mola muumba na si kwa uwezo wake binafsi,na zama zile kulikuwa na watu wanapenda ushirikina na ufufuo na hii naona imewaatihiri mpaka leo nyinyi mnaotumia kivuki cha Yesu kwa kupenda miujiza mpaka mnatapeliwa sana.
Rejea kwa Musa nae alikuwa na miujiza yake kulingana na watu wake na mfano wa mitume mingine nao walikuwa na miujiza.
Na suala la miujiza ni kutoka kwa Allah aliye juu.
THilo najua lakini wewe unaonekana Kama unaumia...ukaanza kumwaga povu kwamba nani kasema muujiza wa uponyaji ndio mkubwa...
Nineshangaa hayo yote yanatoka wapi na huku si Jambo lililoongelewa.
Mara maswali ya kijinga...yaani povu povu tu limekujaa.
Mara uliza maswali kwa adabu mtu usiye mjua...unataka niulize huku nimechuchumaa ama kupiga magoti kabisa kisa simjui ?
Amini tu mkuu, kwani kuna shida gani?Dah!!mtoto wa miaka tisa kuozwa kwa mzee aisee,tena ndo ametumwa na huyo mungu mwenye upendo sana.
Siwezi kuja kuamini huu upuuzi aisee,
Kiranga
Mnyama buraq. Inaitwa safari ya 'miraj'.Na ile ya kuruka na Farasi toka mji wa Maka hadi Madina imekaaje ile...!
Tufanye umeshinda na mapovu yakoT
Inaonekana huelewi ninacho kiandika,nimeshaelezea sababu ya kwanini nilimjibu vile na kusema ya kuwa lile ndio jibu stahiki. Sasa kama ungekuwa umeelewa nilichokiandika usingeandika haya unayoandika.
Sitafuti ushindi,zaidi ya kufikisha haki,inabaki juu yako kufata au kuacha.Tufanye umeshinda na mapovu yako
Na wewe jitahidi kujibu watu kistaarabu...uache kujishuku kwa kudhani kila swali linalokuja kwako Ni attack ama ujinga..Sitafuti ushindi,zaidi ya kufikisha haki,inabaki juu yako kufata au kuacha.
Tarjama maana yake nini?Hajaweka Tafsiri ndio maana nimemwambia akasome tafsiri. Kuna tofauti kati ya tafsiri na tarjama. Huyu hakuweka tafsiri bali aliweka tarjama.
Kutoa maana ya neno kwa neno toka lugha moja kwenda nyingine,na imekuja maana ya tarjama kama historia ya mtu fulani.Tarjama maana yake nini?
Aliwahi kuwaombea dua wanyama na wanadamu, ambao walikuwa wameshakufa, katika matokeo tofauti, na hatimae wakapata uhai tena.Hivi aliwahi kufufua kiumbe chochote achilia mbali binadamu?
Lete mistari.Aliwahi kuwaombea dua wanyama na wanadamu, ambao walikuwa wameshakufa, katika matokeo tofauti, na hatimae wakapata uhai tena.
KAFIRI NI KILA ANAYEPINGA QURAN SO KAKA NA WEWE UNAPINGA QURAN BASI NA WEWE NI KAFIRI