Miujiza 40 ya mtume Muhammad (S.A.W)

Miujiza 40 ya mtume Muhammad (S.A.W)

Kabisa mkuu,kufanya mapenzi na mtoto ambae hata hajabalehe,kwa sasa ilitakiwa achalazwe bakola za kutosha,alafu awekwe behind the bars,ni insanity eti kumfuata huyu.
Niambie hadithi hio dada mtu alikua na Miaka 27 na alimzidi Aisha Miaka 10 kipind Cha hijria na aliolewa baada ya Miaka 3 piga hesabu acha ufala kudandia vitu vihadithi ambavyo hujui
Screenshot_20180801-194334.jpg
Screenshot_20180801-200537.jpg
 
Muujiza mwingine ni kuwatimizia wakeze haja zao za ngono dakika chache kabla hajafa huku akiwa na homa kali!
 
Hyo mujiza wa pili mbona umekaa kiaina aina mkuu?

Jamaa yenu alishindwa kufikiri ad akajakufikirishwa na mtu wa kawaida.
 
Acha upotoshaji na story zako za kuokoteza mkuu

Leta aya kutoka kwenye quran kama miujiza hiyo ni ya kweli maana huwa mnadai quran ndiyo kila kitu Muhammad hajawahi kufanya muujiza wowote na hapa quran inakiri allah hakuwahi kumteremshia Muhammad ishara maana alikuwa mwonaji tu
( وَقَالُوا لَوْلَا أُنزِلَ عَلَيْهِ آيَاتٌ مِّن رَّبِّهِ ۖ قُلْ إِنَّمَا الْآيَاتُ عِندَ اللَّهِ وَإِنَّمَا أَنَا نَذِيرٌ مُّبِينٌ )

العنكبوت (50) Al-Ankaboot

Na walisema: Mbona hakuteremshiwa Ishara kutoka kwa Mola wake Mlezi? Sema: Ishara ziko kwake Mwenyezi Mungu; ama mimi kwa hakika ni mwonyaji mwenye kubainisha tu.

Sasa wewe unapingana na quran yako
Mbona hii aya inazungumzia ishara? Miujiza na ishara wapi?
 
Wapi na wapi ndio wapi? Embu jifunze kuuliza
Naomba darsa kutoka kwako mkuu. Naona unafunika tandu na kufunua jongoo. Swali lako halifanani na malalamiko unayoyatoa. Kiswahili bwana!!!
 
Dah!!mtoto wa miaka tisa kuozwa kwa mzee aisee,tena ndo ametumwa na huyo mungu mwenye upendo sana.

Siwezi kuja kuamini huu upuuzi aisee,
Kiranga
Ukiangalia hapo mpango mzima ulikuwa kujimilikisha tu, kuanzia wanawake mpaka makoloni.

Dini ni siasa ya kale iliyovikwa joho la utakatifu wa Mungu asiyethibitishika.
 
si ameweka tafsiri yakehapo chini
Hajaweka Tafsiri ndio maana nimemwambia akasome tafsiri. Kuna tofauti kati ya tafsiri na tarjama. Huyu hakuweka tafsiri bali aliweka tarjama.
 
sasa huo muujiza(namba 2) kwenye list yako ina maana mtume alikuwa hajui kuwa wakichinja ngamia watakosa usafiri?, hadi mtu wa kawaida kabisa akamwambia!

mtu mwenye uwezo mkubwa namna hyo alishindwaje kujua kitu kidogo hivyo
 
Na ile ya kuruka na Farasi toka mji wa Maka hadi Madina imekaaje ile...!
 
Sijamaliza uzi. Lakini waislamu kwanini baadhi yenu huwa mna mawazo mgando ? Kuna sheikh nilimsikia anadai quran ilishushwa ila biblia imeandikwa na mtu .sasa najiuliza mbinguni kuna printer ?
Mi nijuavyo yaliyo kwenye quran yanaweza kuwa yalishushwa ila printing imefanywa na binadamu na hivo hivo kwa biblia
Lakini kuna ma sheikh unakuta anaongea bila aibu kua biblia inaandikwa na mtu yoyote tu
 
Thibitisha kwa maandiko wacha maneno ya vijiweni
Unapenda sana kuamini kila andiko bila kujua limetoka kwa Mungu wa kweli au shetani,haya maandiko katika vitabu vyote yameandikwa na wanaadamu tu,
Pia angalia ukweli na ubora wa jambo lililoandikwa,utukufu wa mtu hupimwa kwa matendo yake,ndio maana hata Wafalme kama Daudi walipofanya makosa walielezwa wazi na wakatubu,jambo ovu ni jambo ovu tu hata kama lilifanywa na Nabii,ili mradi hakutubu wakati wa uhai wake,.
 
Back
Top Bottom