Niambie hadithi hio dada mtu alikua na Miaka 27 na alimzidi Aisha Miaka 10 kipind Cha hijria na aliolewa baada ya Miaka 3 piga hesabu acha ufala kudandia vitu vihadithi ambavyo hujuiKabisa mkuu,kufanya mapenzi na mtoto ambae hata hajabalehe,kwa sasa ilitakiwa achalazwe bakola za kutosha,alafu awekwe behind the bars,ni insanity eti kumfuata huyu.
Kumtukana mtu unapata thawabu??huwezi kumwelewesha mtu vizuri paka utumie maneno makali??Niambie hadithi hio dada mtu alikua na Miaka 27 na alimzidi Aisha Miaka 10 kipind Cha hijria na aliolewa baada ya Miaka 3 piga hesabu acha ufala kudandia vitu vihadithi ambavyo hujuiView attachment 837661View attachment 837663
Mbona hii aya inazungumzia ishara? Miujiza na ishara wapi?Acha upotoshaji na story zako za kuokoteza mkuu
Leta aya kutoka kwenye quran kama miujiza hiyo ni ya kweli maana huwa mnadai quran ndiyo kila kitu Muhammad hajawahi kufanya muujiza wowote na hapa quran inakiri allah hakuwahi kumteremshia Muhammad ishara maana alikuwa mwonaji tu
( وَقَالُوا لَوْلَا أُنزِلَ عَلَيْهِ آيَاتٌ مِّن رَّبِّهِ ۖ قُلْ إِنَّمَا الْآيَاتُ عِندَ اللَّهِ وَإِنَّمَا أَنَا نَذِيرٌ مُّبِينٌ )
العنكبوت (50) Al-Ankaboot
Na walisema: Mbona hakuteremshiwa Ishara kutoka kwa Mola wake Mlezi? Sema: Ishara ziko kwake Mwenyezi Mungu; ama mimi kwa hakika ni mwonyaji mwenye kubainisha tu.
Sasa wewe unapingana na quran yako
Muujiza na kuoa wapi na wapi mkuu? Hebu changia mada kama unacho cha kusemakama muujiza wakuoa katoto kadogo haujauweka.hii hadithi hadithi yako itakuwa ya uwongo2.
Wapi na wapi ndio wapi? Embu jifunze kuulizaMuujiza na kuoa wapi na wapi mkuu? Hebu changia mada kama unacho cha kusema
Naomba darsa kutoka kwako mkuu. Naona unafunika tandu na kufunua jongoo. Swali lako halifanani na malalamiko unayoyatoa. Kiswahili bwana!!!Wapi na wapi ndio wapi? Embu jifunze kuuliza
Tafuta tafsiri ya hiyo aya,acha kukurupuka.
Ukiangalia hapo mpango mzima ulikuwa kujimilikisha tu, kuanzia wanawake mpaka makoloni.Dah!!mtoto wa miaka tisa kuozwa kwa mzee aisee,tena ndo ametumwa na huyo mungu mwenye upendo sana.
Siwezi kuja kuamini huu upuuzi aisee,
Kiranga
Hajaweka Tafsiri ndio maana nimemwambia akasome tafsiri. Kuna tofauti kati ya tafsiri na tarjama. Huyu hakuweka tafsiri bali aliweka tarjama.si ameweka tafsiri yakehapo chini
Aaaaaaaah nimechek snakama muujiza wakuoa katoto kadogo haujauweka.hii hadithi hadithi yako itakuwa ya uwongo2.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sasa huo muujiza(namba 2) kwenye list yako ina maana mtume alikuwa hajui kuwa wakichinja ngamia watakosa usafiri?, hadi mtu wa kawaida kabisa akamwambia!
mtu mwenye uwezo mkubwa namna hyo alishindwaje kujua kitu kidogo hivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..Mkuu lete andiko la hili jamboMuujiza mwingine ni kuwatimizia wakeze haja zao za ngono dakika chache kabla hajafa huku akiwa na homa kali!
Unapenda sana kuamini kila andiko bila kujua limetoka kwa Mungu wa kweli au shetani,haya maandiko katika vitabu vyote yameandikwa na wanaadamu tu,Thibitisha kwa maandiko wacha maneno ya vijiweni