Mitsubishi lancer sokoni kwa bei chee

Mitsubishi lancer sokoni kwa bei chee

hart

Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
22
Reaction score
5
Wakuu mitsubish lancer used ya mwaka 1998 iko sokoni kwa bei cheap kabisa,vile vile ilinunuliwa mpya with 0km so itakuwa ni second hand! Engine ipo katika hali bomba kabisa!
 
wewe utakuwa mwanajeshi tu,si ndio mlipewaga hizi ehh?
 
Wakuu mitsubish lancer used ya mwaka 1998 iko sokoni kwa bei cheap kabisa,vile vile ilinunuliwa mpya with 0km so itakuwa ni second hand! Engine ipo katika hali bomba kabisa!
<br />
<br />
Soko gani ipo?
Maana mie nipo hapa mitaa ya sokoni ILALA lakini sijaiona!
 
mi niko Kariakoo sokoni hata silioni
Hahahahahaha!Yani nimecheka sana aise.Mpaka hasira zoooote nilizokua nimeziandaa kukujibu zimeisha.Ila some times acheni utoto lol!Sasa mwenzenu anasema gari lipo sokoni,ninyi mara oh,nipo ilala sokoni mbona sijaliona?na wewe nawe oh nipo k,koo silioni.Mybe division-0 @ work.
 
Back
Top Bottom