C kweli hayo magari ni mzuri sana na yanatumia mafuta vizuri sana ila mafundi wetu ndio hayawajui mm ninayo na ina miana 20haijasumbua hata cku moja na mafuta naweka popote
C kweli hayo magari ni mzuri sana na yanatumia mafuta vizuri sana ila mafundi wetu ndio hayawajui mm ninayo na ina miana 20haijasumbua hata cku moja na mafuta naweka popote
Mkuu, my honest opinion would be........dont buy that car.
Mkuu, my honest opinion would be........dont buy that car.
hiyo gari inahitaji kuwa handled kama mtoto. proper service, mafuta masafi (kitu ambacho huku kwetu ni ndoto) na fundi anayeijua sawasawa.
ikianza kuleta issues za low compression na slow accellaration unaweza ukachanganyikiwa. then white smoke na miss....balaa.
lakini kwa fundi anayeifahamu anajua problem ilipo.
If you want a low maintenance 4WD vehicle, go for Rav4 old model....perfect. sio hizi zenye engine za D-4...vimeo hivyo.
Nitafungua tu...........utakuwa mteja wangu wa kwanza.nakuamiia kiongozi.
iatakiwa ufungue gereji ya kichinachina lakini ya kisasa lol
Nitafungua tu...........utakuwa mteja wangu wa kwanza.
Mkuu sidhani kama nitaiweza operating cost zake embu weka specifications zake na bei yake mkuu tuone.
Kama unaagiza nunua kaka wala usiogope ,mimi natumia Mitsubishi Pajero V45 GDI ,hazina shida ni maneno ya watu .Pia engine yake inatafuna mafuta kwa ustaarabu wa hali ya juu .wanaoifahamu vyema hii gari nipeni mawazo na usahuri pia uzoefu wenu hasa kwa matumizi ya hapa Dar na kusafiri nayo mikoani je inafaa na matunzo yake ni vipi ili idumu? Naombeni ushauri na mawazo yenu kwani niko mbioni kuinunua Transmission ni Manual cc 1800 5Doors.
karibuni