KML JF-Expert Member Apr 2, 2012 861 133 Aug 7, 2012 #1 Dogo anaulizwa na mwalim wake Mwalimu: Leo tarehe ngapi Dogo: Tarehe Saba Mwalimu: Mwezi gani?? Dogo: Mwezi mtukufu wa ramadhani Mwalim: Pumbaaafuuuuu..
Dogo anaulizwa na mwalim wake Mwalimu: Leo tarehe ngapi Dogo: Tarehe Saba Mwalimu: Mwezi gani?? Dogo: Mwezi mtukufu wa ramadhani Mwalim: Pumbaaafuuuuu..
Kecha Boksi Member Nov 5, 2010 55 107 Aug 7, 2012 #3 mgodi said: kwani siyo kweli? Click to expand... Kajibu sawa katika mahali pasipo sahihi kama tu aliyeuliza swali ni mwalimu wa darasani.
mgodi said: kwani siyo kweli? Click to expand... Kajibu sawa katika mahali pasipo sahihi kama tu aliyeuliza swali ni mwalimu wa darasani.
First Born JF-Expert Member Jul 11, 2011 5,310 1,473 Aug 8, 2012 #4 Mitoto ya siku hizo Ina akili sana! mi naikubali!