Asante saana, kama wewe ni mweupee nakuandalia ticket ya fastjet tushuke mwanza airport tuchukue shangingi mpaka simiyu ukale nyama choma na pombe ufurahie maishaTayari
Wala si JF tu, akiamua anaweza bila hata ya kuja huku.Kazi na dawa umenikumbusha kuna Mheshimiwa fulani hivi huwa anaogopeka sana ila huwa ananiambia
"DEMISS UNAJUA MIMI HUWA NATESEKA SANA KWA SABABU SIPATI MUDA WA KUONGEA MAMBO YA MAHABA KUTOKANA NA KAZI YANGU KATIKA JAMII "
Leo ndo nimeamin kuwa hata yeye akipata nafasi atatiririka sana itabid nimfundishe jf
Hapo kwenye shangingi umenikumbusha yule mzee wenu wa Maswa alikuwa ananiambia unajua hapo nje limepaki lishangingi ndani kuna Bodyguard na DerevaAsante saana, kama wewe ni mweupee nakuandalia ticket ya fastjet tushuke mwanza airport tuchukue shangingi mpaka simiyu ukale nyama choma na pombe ufurahie maisha
Hahahahah hahahahha sasa mzuka ukimpanda si anaweza kukukata jamaniHahahahaha umenichekesha sana Miss natafuta alisema alikuwa na mkuryaa yeye anampapasa na panga
Naaaaam huyo atakuwa mtu mzito, maana kule kwetu ni mashangingi tuu ndiyo yanatesa, kama huna shangingi na Scania zenye mtoto huna hela, na zizi liwe na si chini ya ng'ombe mia tatu hiviHapo kwenye shangingi umenikumbusha yule mzee wenu wa Maswa alikuwa ananiambia unajua hapo nje limepaki lishangingi ndani kuna Bodyguard na Dereva
Nikasemaaa masaaa yote tumekaaa hapa tunakunywa bia wenyewe wapo tu wanakusubiri
Akacheka akasema mimi ni mtu mzito bhn Demiss wewe unaniona wa kawaida peke yako jinga sana wewe.
Nmezifurahia hizi swaga za watani zangu kwenye kuomba majamboz hahaaa...alafu demiss ujue kutongiza sio mchezo, hadi kijacho chembambaHahahahaha kaka siyo kwa cheko hilooo
Hahaaa siku ya kwanza nilipanda juu ya paa nikitamani kila mtu ajue kuwa nmetongoza japo sikukubaliwa hahaaaaWengine huwa wanatetemeka kabisa wanawake tunajionea mengi
Jembe la mkono ili bila shaka unalizungumzia zee la vyumaaaaaaa!!!!Yes ukisema wasukuma na mrefer yule msukuma dactareee mkaleeeeeee mzee wa nyundo rafiki yake lekibamiaa kama unamjuaaa anahongaaaa balaaaaaa yaaan ushamba wake wote na ujanja wake wote lakin bado wanawake wanamzuzuaa, kuongeaa halijui linahonga kama halina akili nzuri yy na mdogo wake
Hahahahaha akiiii ukinambia hivyo nakupiga kibuti kikaleeeeeArusha umekosea iko hivi.
Niaaje asee Demisiiii, funga basi mbona speed mamaakee? nifulu *****? Unajuanini aarifu, mimi nakumaindi kiku-***, nakuvungiaga kiaina mamaake, vipi asee Demisiii tunaweza niajeniaje hiko kizaga naiti geto?
Ndio mwisho wa kusaundisha hapo kwa Chaliaraa utachoka mwenyeweHahahahaha akiiii ukinambia hivyo nakupiga kibuti kikaleeeee
Ama kweli kwenu mashangingi ndo habari ya mjini?Naaaaam huyo atakuwa mtu mzito, maana kule kwetu ni mashangingi tuu ndiyo yanatesa, kama huna shangingi na Scania zenye mtoto huna hela, na zizi liwe na si chini ya ng'ombe mia tatu hivi