Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,213
- 4,192
Hahahahah ndio mnaongeaga kwa sauti
Je nimepatia misi lako au ?
Hehehebeb
Hahahahah ndio mnaongeaga kwa sauti
Hahaha usije nifanya mshana aandae tunguli zakeHahahaha loooh wewe mshindi
We mluguru si bure, huu mji waujua vyemaAirport pub pamoja na kwenda kule mliman yankomwagika maji kuogelea Nashera hotel usiku Flom hotel kuangalia view ya Mo town
Ewaaa ndiyo maana nakupendagaaaMuleeee muleeeee
Itabidi nijifunze kuepa ili nikunaniiiKazi kwakooo
Kubali tu, wewe mluguru waujua mji kuliko wenye mjiHahahaha wala sema mm nimekaa sana sabasaba Vijana social enzi hizooo ndo yenyewe sabasaba usiseme Tuition za CCM mkoa ndo zanguuuu balaaa kwa Pastor PHILLy
Haya, wavijua vituo kama kondaMimi nimezunguka maeneo mbali mbali so wallah siyo mluguru
Akikuapapasa anakupapasa na panga hahahaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahaha wewe ndiyo unatuchonganisha sasaHahahahaha tena unatafuta ugomvi na Mshana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaha wamasai sasa
MAMA YEYOOO NIPE ILE KITU INAMESAAA MWENZIE