Karibu saana huku kwetu, nakuhakikishia utamsahau MshanaAma kweli kwenu mashangingi ndo habari ya mjini?
Sasa unataka aambukizwe aonekane chenga. JF tuna ugonjwa mbayaIla Jf hata mm kuna akili fulan nimeambukizwaaa mpaka mtaani napelekaa maajabu
[emoji2] na kweli,Kweli kabisaa ila niliwahi kuumuuliza akasema jf imevamiwa siyo kama zaman yeye hajawah jiunga ila huwa anasikia porojo zakeee
Nini tenaaaaa!Khaaaaaa
Huu mtandao alosto tosha isiyotibika sober.... Angalia usije msahau mgangaIla jf imeniathiri sana yani hata kuchat Tsap nimepunguza kupigia watu nimepunguza jaman hii siyo hakiii
Jf kama utejaaa
Kipi Down town au Mo townMganga siwez kumsahau kaniweka kwenye Chupa
Alafu nimemiss viwanja vya Moro
Umssema umemic kutongozwa kisukuma mbona nimefanya misi lako jamn?Looh huo mtongozo wa wapi