CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
1. Sholwe-bwenzi
2. Denge
na kazalika!
mamito mie sisuki nina tatizo la kuumwa kichwa, natupiemo style za tiba na migiro kimtindo.wadada wa chit chat hivi ninyi huwa hamsuki kama mie nini? hebu tupieni majina ya mitindo ili tupate mitindo mipya lolest!!!!!! wapi mama cacico, Preta, beibe nasty, Elizabeth Dominic, Ciello, Remmy, eversmilling gal Arabela na warembo woote?
mkuu asigwa huo mnyoo ndo upoje?
mamito mie sisuki nina tatizo la kuumwa kichwa, natupiemo style za tiba na migiro kimtindo.
Watoto wa mjini siku hizi wanauita KIDUKU...
Ila siye enzi zetu tulikua tunaita FIDODIDO
wadada wa chit chat hivi ninyi huwa hamsuki kama mie nini? hebu tupieni majina ya mitindo ili tupate mitindo mipya lolest!!!!!!
wapi mama cacico, Preta, beibe nasty, Elizabeth Dominic, Ciello, Remmy, eversmilling gal Arabela na warembo woote?
eeeh huijui? Afroflan lenye vikolombwezombona cjakupata? style ya tiba?????
wadada wa chit chat hivi ninyi huwa hamsuki kama mie nini? hebu tupieni majina ya mitindo ili tupate mitindo mipya lolest!!!!!!
wapi mama cacico, Preta, beibe nasty, Elizabeth Dominic, Ciello, Remmy, eversmilling gal Arabela na warembo woote?
Hadi wa kule mafichoni umeuachia Elizabeth Dominic ?Mi siku hizi sisuki naachia unywele wangu, umekuwa mrefu full kujidai...............lol
Usinitafute shari Jumapili hii Erickb52......oooh.....i begHadi wa kule mafichoni umeuachia Elizabeth Dominic ?
CL mie si mdada ila katika mazingira flani nilijifunza kusuka.
Then in various styles , nasukaje bi dada !
Kitaka hakiki , jipange utafute siku nije nikusuke! Uone suko la shemeji !
eeeh huijui? Afroflan lenye vikolombwezo
mmmmh wadudu wadogowadogo
Nanasi,mdomo wa kuku