Pia uwe na mwili usobadilika ila kama wenye miili leo kilo 90 kesho kilo 85 mtihani mtupu
Nashonaga zangu zile bwaga ,mara za kuzungusha ama mapindo yan staili ilimradi iiswe tu ya kushape
Namshukuru Fundi wangu kwa kunitendea haki kwa kweli
Sent using
Jamii Forums mobile app