Mitindo mbali mbali ya kunyoa

Nywele nishafuga, Afro yangu ilikua kubwa sana... Ila siyo rasta, kufuga nywele kawaida tuu...

Panki nishanyoaga...

Sasa hivi nanyoa kawaida tu mara zote...


Cc: mahondaw
 
Wakuu Leo naomba tujuane wale wote ambao hawajawahi kunyoa staili Mbalimbali
mfano;kiduku,panki,n.k
Nikianza mm sijawahi mpaka sasa na umri wangu huu nilio nao
Vipi kwako wewe ulishawahi?
je unaendelea au umeacha?
Unavyoonekana sio mwanamke wala mwanaume upo kati
 
Mkuu weka picha uzi bila picha hainogi
 
Sjawahi ila soon nitafanya weka picha yako mkuu tukuone
 
Wakuu Leo naomba tujuane wale wote ambao hawajawahi kunyoa staili Mbalimbali
mfano;kiduku,panki,n.k
Nikianza mm sijawahi mpaka sasa na umri wangu huu nilio nao
Vipi kwako wewe ulishawahi?
je unaendelea au umeacha?
style yangu ni kipara tu.
 
Sijawahi ila niliwahi nyoa kipara(sijui nayo ni style)
 
Michango ya WADAU ndio iliyonileta hapa
 
Staili zote izo nimenyoa mpaka kusuka nimesuka. Skuizi napiga low taper tu kama hivi (sio mimi kwenye picha)
 
Nna Afro kama lote dingii..hizi ndo style zangu za nywele
 

Attachments

  • a.jpg
    30.1 KB · Views: 39
  • ah.jpg
    24.9 KB · Views: 40
  • aah.JPG
    5.8 KB · Views: 42
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…