Mitindo mbali mbali ya kunyoa

Wakuu Leo naomba tujuane wale wote ambao hawajawahi kunyoa staili Mbalimbali
mfano;kiduku,panki,n.k
Nikianza mm sijawahi mpaka sasa na umri wangu huu nilio nao
Vipi kwako wewe ulishawahi?
je unaendelea au umeacha?
Unavyoonekana sio mwanamke wala mwanaume upo kati
 
Wakuu Leo naomba tujuane wale wote ambao hawajawahi kunyoa staili Mbalimbali
mfano;kiduku,panki,n.k
Nikianza mm sijawahi mpaka sasa na umri wangu huu nilio nao
Vipi kwako wewe ulishawahi?
je unaendelea au umeacha?
style yangu ni kipara tu.
 
Sijawahi ila niliwahi nyoa kipara(sijui nayo ni style)
 
Staili zote izo nimenyoa mpaka kusuka nimesuka. Skuizi napiga low taper tu kama hivi (sio mimi kwenye picha)
Screenshot_20190830-024855_Chrome.jpg
Screenshot_20190830-024908_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom