Mitihani ya Big Results Now ni Big Failure Now

Mitihani ya Big Results Now ni Big Failure Now

Sigwame

Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
71
Reaction score
13
Wadau,

Nimekutana na maswali ya BRN yaliyotolewa na Wizara ni janga la taifa yamejaa makosa na kwa kweli Mbatia ana hoja ya msingi ingawa akisema Wizara inamsema mzushi. Hebu pitieni kisha tujadili mustakabali wa elimu yetu.

--------------------------------
attachment.php

--------------------------
attachment.php

------------------------------------

attachment.php
 
Attachments

  • EnglishCover.jpg
    EnglishCover.jpg
    112 KB · Views: 582
  • English1.jpg
    English1.jpg
    182.1 KB · Views: 3,496
  • English2.jpg
    English2.jpg
    220.9 KB · Views: 3,598
  • His2.jpg
    His2.jpg
    194.6 KB · Views: 1,839
  • His3.jpg
    His3.jpg
    209.7 KB · Views: 3,377
  • His4.jpg
    His4.jpg
    293.4 KB · Views: 2,250
  • Hisabaticover.jpg
    Hisabaticover.jpg
    107.8 KB · Views: 459
Wakuu hiyo ni Composition ya Engilish Language
 
Attachments

  • English3.jpg
    English3.jpg
    93.5 KB · Views: 491
AND jina la mtihani umesoma? TEST EXAMINATION STANDARD VII!!!!! Big results now!
 
AND jina la mtihani umesoma? TEST EXAMINATION STANDARD VII!!!!! Big results now!

Mkuu nimekukubali una jicho kali nilikuwa sijaona. Nadhani ukiyapitia maswali utatupa uchambuzi mzuri sana lakini inasikitisha kama wanaotaka kuleta Big Results Now mambo yao ni ya kiwango hicho, je huko shuleni hali itakuwaje? Kwa nini walimu wanalaumiwa kama Wizara yenyewe inatoa vitu dhaifu kihivyo?
 
Hivi nchi hii inakwenda wapi maana nimepitia somo la Hisabati na nimepatwa na bumbuwazi jinsi maswali yalivyokosewa mengine hayana kabisa majibu. Kwa mfano
Swali 13. Badili 13/16 kuwa desimali
A 1.1876. B 1.1875. C 1.1785. D 1.2885. E. 1.2875
Uliangalia sehumu waliyopewa wanafunzi haijafika kitu kizima sasa hapo jibu ni nini?

Swali 14. Badili 37 1/2 kuwa sehemu rahisi
A 3/8. B 5/8. C 1 3/8. D 2 3/8. E 1 5/8

Sasa katika hilo swali kama umeanza na namba thelasini na saba na nusu ukiiandika kama sehemu rahisi utapataje majibu ambayo thamani yake ni ndogo sana kuliko unachokirahisisha?

Hao dhaifu walioko Wizarani mbona ni Mungu watu sana wenye kupewa umuhimu kuliko hata umuhimu wa nchi? Kwa mtindo huu tutafika kweli?
 
Tuna matatizo kwenye mfumo wetu wa elimu ikiwa ni pamoja na mfumo wa mitihani. Kuna mambo mengi yanayohitaji majibu:
1. Je mitihani tunayotunga inazingatia mitaala? Nani anacheki hili?
2. Je kuna kitengo kinachosimamia ubora wa mitihani na uhakiki?
3. Je kuna uhakiki katika usahihishaji wa mitihani?
4. Je kuna tathmini yoyote unayofanyika baada ya mitihani kufanyika?

Nilitarajia Tume ya Pinda ingekuja na majibu, lakini mpaka sasa imekuwa kimya.
 
Tume ya Pinda au kamati ya Pinda? Pinda ni lini akaja na majibu ya tume zake na zikaleta matumaini?
 
Nasikitika kuona hawa wadau wa Elimu wasiokutana na wanafunzi kwa maana wasiofundisha kuahidi kwa niaba ya walimu wavuja jasho wanaojua kwanini mambo yako hivi yalivyo. Nasema labda wachakachue vinginevyo tutaona. TANESCO baada ya kugundua wanaibiwa na wasoma mita kushirikiana na wateja walikuja na suluhisho la LUKU (Lipia Umeme Kadri Unavyotumia). Hivi Hamjui kwa Sasa Walimu nao wamekuja na mbinu mpya ya FUKU (Fundisha Ueleweke Kadri Unavyolipwa). Tuache utani na walimu ebu walipeni vizuri, Somesheni walimu wenye ufaulu wa Juu DRJ I na II mwisho la III. hata chini ya miti watoto watafundishwa kwa mbinu za hali ya juu na tutapata Big Results Now. Vinginevyo tunaudanganya Umma wa WaTZ kwani walimu ni walewale waliokata tamaa na watoto ni walewale walioandaliwa ovyo ovyo toka nyuma. Sasa kwa wiki 3 zilizobaki darasa la VII wafanye mitihanai yao ya mwisho na Miezi 2 iliyobaki kidato cha Nne wahitimu Big Results ya 60% toka 30% mtaweza?

Wenu Mtiifu,
Mwalimu wa Awali.
 
Habari wadau,
Nimekutana na mtazamo huu wa mdau katika majdiliano fulani,una mtazamo upi juu ya uzinduzi na utekelezaji wa kauli mbiu ya ''Big results now'' ?- Ni matarajio yangu kuwa tutatoa Constructive Criticism pale inapobidi.....
Maoni yenyewe ni haya hapa -

''Kuna mchwa mwingine wa kutafuna pesa za wananchi Mchwa huo unaitwa ''BIG RESULTS NOW''.Kwakweli kila mmoja ataungana na mimi kuwa Tanzania ni nchi yenye ubunifu wa kauli mbiu zisizotelezeka kila kuchao.

Mfano tulitoka Kilimo:1.KUFA NA KUPONA 2.KILIMO NI UTI WA MGONGO 3.KILIMO KWANZA.kauli zote hakuna iliyofua Dafu.Hivyo pasipokwenda hata TUITION lazima ukubali kauli ni tamu ila utekelezaji na mipangilio ni mbovu.

Juzi kuna wizi umefanyika wa bilioni 8 ktk kitu kiitwacho GLOBAL SMART PARTINERSHIP.fuatilia kauli ya Samwel Sitta aliyeomba CAG achunguze wizi huo.Hivyo kwakuwa kauli mbinu zinaletwa na walewale, kutoka chama kilekile kwa aina ileile na kwa mfumo uleule hivyo tusitegemee mabadiliko hata kidogo labuda watu wanahitengenezea Ulaji.

Jana wizara ya Elimu imezindua kauli iitwayo BIG RESULTS NOW. Maswali ya kujiuliza-Je! Big results now ktk Elimu itafanikiwaje kama 1.Mshahara wa Mwalimu unamkatisha tamaa?? 2.Mwl hana Nyumba? 3.Makato ya TRA(PAYEE) yakimpa presha?? 4.Itafanikiwaje Mitaala ikiwa mibovu??? 5.Itafanikiwa huku watoto wakiwa na madawati wala madarasa?? 6.Itafanikiwaje shule za kata bila kuwekewa Maabara?????.

KWA MAELEZO YALIKO KWELE UFAFANUZI WA HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU ALIYOITOA JANA HAKUNA MAJIBU YA MASWALI NILYOULIZA.HAKIKA JUHUDI ZA MAKUSUDI ZINATAKIWA ''ESPECIALLY WHEN A NATION IS FOCUSING ON ANY ESTABLISHID POLICY OR VISION OR MISION. THERE IS NO WAY WE CAN ACHIEVE WITHOUT PROPER AND STRONG STRATEGIC PLANS'' ITS YOU AND ME TO BRING CHANGES''.

Kupanga ni kuchagua !!:wave:

When the ministry of education and his team was inaugurate the programe of BIG RESULTS NOW! The people who we have been experience with MATAMKO YA MAKEKE from our leaders we build a lot of questions in our mind! While we asked our self……. Do will we make to perform a big results from this poorest management?.

To be honestly under Mr. Shukuru Kawambwa and his co- workers Mulugo who told us that The Tanzania was formed from joint venture of Tanganyika and Zimbabwe, the year of 19,664????!!!!!!, I see nothing from this programe because even them they show us poor results in their performance.

welcome to share with new ideas from you.
 
Dr F. Ndugulile;
Tuna matatizo kwenye mfumo wetu wa elimu ikiwa ni pamoja na mfumo wa mitihani. Kuna mambo mengi yanayohitaji majibu:
1. Je mitihani tunayotunga inazingatia mitaala? Nani anacheki hili?
2. Je kuna kitengo kinachosimamia ubora wa mitihani na uhakiki?
3. Je kuna uhakiki katika usahihishaji wa mitihani?
4. Je kuna tathmini yoyote unayofanyika baada ya mitihani kufanyika?

Nilitarajia Tume ya Pinda ingekuja na majibu, lakini mpaka sasa imekuwa kimya.

Sasa Hapo Ww Gambaz Hayo Maswali Unamuuliza Nani Ayajibu?

Unafiki Mbaya Sana Ww Dr..

kwann Kipindi Mbatia Anawasilisha Hoja Yake Hukuumuunga Mkono?

leo Unakuja Na Viswali Vyako Vya Kindergaten Hapa Kwenye Jamvi!

ww Unalalamika,

Marcopolo(jk) Analalamika,

Kawa-mbwa Analalamika,

Prof Mulugo Analalamika,

Wananchi Wanalalamika,

Walimu Wanalalamika,

way Forward Ni Nn?
 
Tuna matatizo kwenye mfumo wetu wa elimu ikiwa ni pamoja na mfumo wa mitihani. Kuna mambo mengi yanayohitaji majibu:
1. Je mitihani tunayotunga inazingatia mitaala? Nani anacheki hili?
2. Je kuna kitengo kinachosimamia ubora wa mitihani na uhakiki?
3. Je kuna uhakiki katika usahihishaji wa mitihani?
4. Je kuna tathmini yoyote unayofanyika baada ya mitihani kufanyika?

Nilitarajia Tume ya Pinda ingekuja na majibu, lakini mpaka sasa imekuwa kimya.

Mh. Ndugulile.
Tuna matatizo ya uongozi katika taifa letu na si mfumu wa elimu pekee yake. Huwezi kuacha mtu anafanya mzaha kama huu kwenye life ya watoto wetu halafu unakenua meno tu bila kuwajibisha wenye dhamana hiyo. Najua bunge likishavunjwa 2015 huku mkiwa mmeshachukuwa vijisenti vyenu, mtaongea na kulipuka sana dhidi ya chama kinachoendesha serikali kwa sasa ili kujikosha kwa wapiga kura. TUTAWAKUMBUSHA.

Simameni mhesabiwe.
 
Watu wanawekwa tu kwenye vitengo nyeti hawana uwezo. Wenye uwezo tumewekwa pembeni. Haya ndo matokeo ya akili ndogo kuongoza kubwa
 
Mkuu umenena

Dr F. Ndugulile;
Tuna matatizo kwenye mfumo wetu wa elimu ikiwa ni pamoja na mfumo wa mitihani. Kuna mambo mengi yanayohitaji majibu:
1. Je mitihani tunayotunga inazingatia mitaala? Nani anacheki hili?
2. Je kuna kitengo kinachosimamia ubora wa mitihani na uhakiki?
3. Je kuna uhakiki katika usahihishaji wa mitihani?
4. Je kuna tathmini yoyote unayofanyika baada ya mitihani kufanyika?

Nilitarajia Tume ya Pinda ingekuja na majibu, lakini mpaka sasa imekuwa kimya. Sasa Hapo Ww Gambaz Hayo Maswali Unamuuliza Nani Ayajibu?
 
kama wasomi ndio nyie mmeamuakuweka akili zenu mfukoni unategemea nini? Hayo maswali ingekuwa sawa sana kama ungemuuliza bosi wako
 
Ubora wa maswali hayo unaonesha ubora wa viongozi wetu wa elimu. Yaani wasomi wote kwenye sector ya elimu wizara imeshindwa kuwatumia kufanya kitukinachoeleweka? Hivi vyeo vya kupeana kindugu vitalinangamiza taifa
 
Back
Top Bottom