Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,936 Dec 19, 2017 #41 Mtu wa Green said: Mkuu acha miti ikupe oksijeni Click to expand... Mbona jangwani hapajawahi kupungukiwa na oksijeni?
Mtu wa Green said: Mkuu acha miti ikupe oksijeni Click to expand... Mbona jangwani hapajawahi kupungukiwa na oksijeni?
Facha Don JF-Expert Member Joined Oct 27, 2016 Posts 343 Reaction score 317 Dec 19, 2017 #42 Bahati furaha said: Naombeni kujuzwa taratibu za kufuata ili kuweka uzio wa umeme waungwana. Huko ulikomwelekeza akaripoti sidhani kama ni mahali sahihi kwa tatizo hilo mkuu. Click to expand... Mkuu wamiliki wa mti hawataki kupunguza mtu atakuja pigwa shot ya umeme hapo inakula kwakwe mmiliki wa fence anawe mapema tu
Bahati furaha said: Naombeni kujuzwa taratibu za kufuata ili kuweka uzio wa umeme waungwana. Huko ulikomwelekeza akaripoti sidhani kama ni mahali sahihi kwa tatizo hilo mkuu. Click to expand... Mkuu wamiliki wa mti hawataki kupunguza mtu atakuja pigwa shot ya umeme hapo inakula kwakwe mmiliki wa fence anawe mapema tu
Bob Kawari JF-Expert Member Joined Feb 1, 2015 Posts 1,231 Reaction score 1,624 Dec 19, 2017 #43 Yani ukate mti kisa uvivu wa kufagia? Ingekua tawi limeegemea nyumba hapo ingekua tatizo, hebu acha miti mpate hewa safi
Yani ukate mti kisa uvivu wa kufagia? Ingekua tawi limeegemea nyumba hapo ingekua tatizo, hebu acha miti mpate hewa safi