Karibu na home Kuna mbuyu mmoja mkubwa .Babanngu Kwa sasa ana 95 years but anasema alipokuwa akiuona mbuyu huo wakati wa vita ya Ulaya mwaka 1945 ni vilevile aunavyo kipindi hiki mtu huo. Naombeni mawasiliano ya watu wa record wauone na watuhesabie umri wake