Miti iliyoona mengi. Miti iliyokula chumvi nyingi

Miti iliyoona mengi. Miti iliyokula chumvi nyingi

FB_IMG_1742770043118.jpg
 
Hii miti hukatwa ama huangushwa kwa tambiko maalum la sivyo unaweza ukaangushwa mchana kukicha kesho yake umerudi palepale
Au mashine kuharibika
Au madereva kufa au kupata uchizi
 
Hii miti hukatwa ama huangushwa kwa tambiko maalum la sivyo unaweza ukaangushwa mchana kukicha kesho yake umerudi palepale
Au mashine kuharibika
Au madereva kufa au kupata uchizi
Nina mdada namfahamu huwa anauza mbao,yeye ka base mbao za miembe,huwa ananunua ile miti mikubwa ya miembe anakata anachana mbao. .aliwahi kunipa shuhuda za ajabuajabu jinsi anavyopata mauzauza ya kila akikata mti nimetokea kuiheshimu na kuigopa miti mikubwa
 
Pale mbuyuni usikute misukule inanyonya pesa na damu za wale mama ntilie na bodaboda 🤔
 
Back
Top Bottom