Me nilishawahi kuambiwa, Jenerali Mboma wakati wa vita vya Kagera, aliingia jijini Kampala na fighter jet za JWTZ akafanya sana vurugu na kuzua taharuki kubwa.
Jeshi la Uganda likajibu kwq kumkimbiza mpaka Dar Es Salaam lakini hawakumpata😂
Karibuni mtiririke kamba na chai mlizopigwa kuhusu...
Ni miti mikongwe duniani.. Toka kila pembe ya dunia.. Imeshuhudia na kuona mengi.. Inayajua mengi mabaya na mema, ya kizani na ya nuruni
Imeshuhudia maanguko ya falme na himaya katili. Imeshuhudia mauaji ya halaiki na kimbari
Imepona vimbunga na mafuriko
Imesalimika ukame wa kutisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.