SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,278
- 3,565
Signs za weak men no. 1 Kama ni hivyo mbappe,Messi,Ronaldo,dangote,bakhresa,mondi,konde,burna boy,davido wote wangewakubalia videmu wote kuwa na msimamo braziaWanaume wenzangu, kwa nini ni ngumu Sana kuchomoa mtego wa mwanamke akikutaka kimapenzi?
Wanawake wakitongozwa wengi huweza kupangua mashambulizi tofauti kabisa na upande wa pili. Yaani mrembo akutake na akuwekee mtego Matata unachomokaje?
Ladies labda mtuuzie mbinu za kivita, Kama kuhonga tunajua hamuwezi, ni kwanini wanaume wengi hawatoki kwenye mtego?
Kuna watu watakuja kusema wana msimamo nami nitawaambia aidha Siyo pisi Kali au hajakutaka.Akikutaka huchomoki nakwambia
Uzi tayari
Wanaume ndio tumeumbwa hivyo. Hata kama hujampenda mwanamke utakubali hivyo hivyo utimize haja zako kisha usepeKwa nini akikutaka hauchomoi?
Jiongelee mwenyewe mkuuWanaume wenzangu, kwa nini ni ngumu Sana kuchomoa mtego wa mwanamke akikutaka kimapenzi?
Wanawake wakitongozwa wengi huweza kupangua mashambulizi tofauti kabisa na upande wa pili. Yaani mrembo akutake na akuwekee mtego Matata unachomokaje?
Ladies labda mtuuzie mbinu za kivita, Kama kuhonga tunajua hamuwezi, ni kwanini wanaume wengi hawatoki kwenye mtego?
Kuna watu watakuja kusema wana msimamo nami nitawaambia aidha Siyo pisi Kali au hajakutaka.Akikutaka huchomoki nakwambia
Uzi tayari
Mimi nishawakataa wengi tu. Naangalia interest zangu piaHalafu mwanaume kumkataa mwanamke hizo ni tabia za kinadada
Kwani uongo ushaingia account yake ya IG ukaona hizo dm za pussy zilivyojaa from across Africa na tz yenyewe Ila jamaa anachomoa tu au unadhani yule ni lala hoi ka ww unamchukulia poa eeeh [emoji23][emoji1787]Did you say mondi? [emoji23][emoji23][emoji23]unajua mkeka aliopita nao?
Unatumia mbinu zipi mkuu, hasa akiwa pisi Kali?Mimi nishawakataa wengi tu. Naangalia interest zangu pia
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Kachomoa wengi na kapita na kijiji vile vile 😂😂Kwani uongo ushaingia account yake ya IG ukaona hizo dm za pussy zilivyojaa from across Africa na tz yenyewe Ila jamaa anachomoa tu au unadhani yule ni lala hoi ka ww unamchukulia poa eeeh [emoji23][emoji1787]
Jina mzee lilinichanganyaNDIYO MKUU
Mkuu samahani kidogo, unamaanisha mwanaume (yeyote) akitakwa na mwanamke (yeyote) ni ngumu kuchomoa? Kama ni hivyo hapana mkuu.Wanaume wenzangu, kwa nini ni ngumu Sana kuchomoa mtego wa mwanamke akikutaka kimapenzi?