umenena lolz!
hapa niko chumban naandika yeye yuko bafuni anafua iyo kanga alovaa ni moja tena fupi bila blauzi.
nimemchungulia ufuaji wake nikasema hapa mguu sawa.
sakapal baba Klein hayupo na yeye kama mwanaume siwez kusema hatoanguka dhambini ama la kwani nayeye ni binadamu kama wanaume wengine. na akianguka yeye dhambini kama mtu mzima ataniumiza mm sana sana ila sitokuwa na la kufanya manake yeye kaona hii ndio busara zaid.
kwangu mm sasa hivi nalia na Klein jaman, nimeshaongea nae kwa maneno na hata kwa biblia sasa nimebaki kusali tu. hofu yangu ni kwamba kama akiwa kiruka njia si ndo mwanzo wa kuleta magonjwa kwa watu wa karibu yangu??
gfsonwin the story is too long, ntamalizia laterz. lakini nimeona part II una mashaka na HG aliyeumbika, naomba umlete kwangu ili kulinda wanao halafu ntakutafutia mwingine ambaye ni "average looks na salama"
jamani nifanyeje sasa?
I'm sure utaweza kumlea klein through this 'temptation', sio ngumu kama udhaniavyo. kuhusu maid no thank you, wa kwetu amekuwepo since '08 na atakuwepo for the foreseeable future.hahahhah! so wewe unataka maid?? ni mzuri sana sana wa kila kitu kasoro elimu yake tu ndo darasa la saba.kama uko siriaz basi tuwasiliane nikupe akufanyie kazi.mie hofu nikwa Klein wangu tu, baba yake wala sina mashaka manake kama hajajifunza basi bana itakuwa ni tabia na haina dawa
Blaine mtoto hakui kwa mama sio?? na hope you know kwamba kila mama hupenda mwanae mabaya yamwepuke sio?? nitajilaumu sana kama kwa namna yyte ile nimegeuka direct or indirect mtego kwa mwanangu. namjua ni mzuri sana wa sura na hivi amebalehe basi wengi watamtamani.I'm sure utaweza kumlea klein through this 'temptation', sio ngumu kama udhaniavyo. kuhusu maid no thank you, wa kwetu amekuwepo since '08 na atakuwepo for the foreseeable future.unrelated:: did u fix your son's bully problem?
sakapal baba Klein hayupo na yeye kama mwanaume siwez kusema hatoanguka dhambini ama la kwani nayeye ni binadamu kama wanaume wengine. na akianguka yeye dhambini kama mtu mzima ataniumiza mm sana sana ila sitokuwa na la kufanya manake yeye kaona hii ndio busara zaid.
unajua sosoliso kuna siku nilikuwa naongea na mtu mzima sana akaniambia haya haya kwamba enzi za ujana alijifunzia ku du kwa wadada wa kazi wa home kwao. sasa ile impression bado ninayo kwamba hata wanangu kama ni wa kiume nitegemee haya""--""Nakiri wakati nilipokuwa teenager gfsonwin beki 3 wa home walinikoma mie.. Ila kwa sasa Nitamshangaa sana na kumtoa maana mwanaume yeyote mwenye mke akamtokea beki 3 wake.. Ni udhalilishaji na ukosefu wa heshima kwa mke wako na watoto wako..
neggirl huwez kuamini wakaka wang wa shambani huwa wanaoana na wadada wangu wa ndani. anyway labda nitefute makazi mapya ambayo hayatanilazimu kukaa na mdada na mkaka ila hapa ninapoish kwa sasa ni lazima.diii!!!!!!!!!
mwalimuuuu gfsonwin....story ndefu but watch out lolz, what I can say usipende kutafuta wasichana wa short cut bila kujua watokako (historia yao).
Pili... naona shamba boys wako wamegeuza home kwako ni genge la kupata wachuchus lol... why dont opt kuwa na wadada wa2 badala ya opposite sex ... nimewaza tuu manake kaaa