Mabo ya maendeleo tangible na intangibles.
Mabo ya maendeleo tangible na intangibles.
Nguvu wanayotumia kumsifia wangetumia kufanya kazi nchi ingekuwa mbali snMbona mnatumia nguvu nyingi kumnadi Mama?
Mama ameunda Tume yake kuhakikisha anabaki madarakani! Jeshi lipo! Wasi wasi wenu ni nini?
Tuachieni wapiga kura tuje tuamue kwenye sanduku la kura!