Mitandaoni huko kuna mambo

Mitandaoni huko kuna mambo

Walipe Kodi TRA wafanye mpango wa EFD machine kwa hao dadaz
 
Kila napo ona whatsapp insta na facebook roho huwa ina niuma sana japo siwezi acha kuvitumia. Mitandao hii hii imenikosesha ndoto za kuwa na familia (kuwa na mke na watoto) hii ni baada ya kumkuta mwenza wangu ambaye nimedumu nae kwa mda mrefu sana akifanya mambo ya ajabu sana kweny hii mitandao. Na bado ukicheki wadogo zetu dada zetu kaka zetu kila pakikucha picha video na story tunazo kutana nazo humu zina ashiria hiki kizazi kina karibia kufika mwisho wake. Kuna mda natamani hii internet izimwe kbsa ila ni kitu hakiwezekani kwan internet hii hii ni ofsi za wengine. Ndio njia ya kuwasiliana. Duuuh tusalini sana jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulicho kikuta ndio upande wa pili wa demu wako. mitandao si sababu bali ina raisisha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ni walewale sema wamefungua branch sehemu mbalimbali mtu yuko sinza ila anaweza kusafiri hadi simiyu kumuhudumia mteja
 
Biashara inalipa mkuu....Fikiria MTU anaingiza alfu 30000 kwa Massa mawili..... Mm nashauri waanze kulipa kodi tu.
 
Back
Top Bottom