Kayjo
Member
- Nov 20, 2018
- 6
- 2
Msaada kwenye tuta jamani. Simu yangu hapokei data kutoka mitandao ya kijamii niliyo nayo (whatsapp, facebook, instagram na twitter) lakini Google na YouTube zinafanya kazi kama kawaida hata nikibadilisha line nyingine yenye bundle. Nikiunganisha hotspots na simu nyingine napata huduma Kama kawaida. Nifanyeje kitatua hili tatizo?