CHADEMA na wanaharakati wanamdharau na kupuuza ushauri wa Spika.
1. kwenye suala la akina Mh. Mdee kawashauri nini cha kufanya mnampuuuza nao wanaendelea kubaki bungeni GOOAL.
2. kwenye suala la Mh. Lissu kawashauri nini cha kufanya mkampuuza sasa mnaleta oh Lissu analipwa matilioni- kawambia kwa orodha mlioweka mitandanoni kwa mbwebwe yumo na Ridhwani na ilishalipwa GOOAL.
Mkuu naamini kuwa una amini katika uhuru wa mtu kutoa mawazo yake. Sikutegemea kutukanwa na wewe. Hata hivyo dharau na mapuuza ni kikwazo cha uelewa na ufanisi. Ndiyo maana Mh. Mdee atabaki bungeni na Mh. Lissu hatalipwa hata senti moja.
Chadema kukosa dira na muongozo kama chama kutegemea genge la wahuni na wanaharakati uchwara ndio linalowagharimu kila siku.
Jana kikundi cha wahuni cha chadema kikatunga uongo na uzushi kwa kutoa orodha ya majina ya wanaodai ya mwaka 2018 na kumsingizia Mama Samia ili tu kutafta attention ya Lissu.
Hiki chama na kikundi cha wacheza ngoma za laki si pesa hawana tofauti.
Mkuu naamini kuwa una amini katika uhuru wa mtu kutoa mawazo yake. Sikutegemea kutukanwa na wewe. Hata hivyo dharau na mapuuza ni kikwazo cha uelewa na ufanisi. Ndiyo maana Mh. Mdee atabaki bungeni na Mh. Lissu hatalipwa hata senti moja.
350Millions
Zimerudishwa kwa Spika Ndugai baada ya Mbowe kushindwa Kesi leo hii Mahakama kuu imeamua hilo.
Tunamshukuru sana Ndugai ..
Karibuni tuendelee kunywa...