Mitandao mingine ya simu kama imerogwa

Mitandao mingine ya simu kama imerogwa

Vodacom Tanzania ndio wenye hii tabia walikula salio langu nikawatumia meseji moja ndefu sana hadi wakanipigia simu na kuniahidi kurudisha pesa yangu lakini hadi leo kimya mwisho wa siku nikaona suluhisho ni kununua kifurushi kwa M- pesa tu.
 
Hao Hawana Maana Kabisa Yaani Kila Nikiongeza Salio Kwa Voucher Lazima Tsh 30 Ikatwe
Huduma Kwa Mteja Hawana Jibu

Hivi Mtu Ununue Simu Halafu Unaambiwa Wakati Unaweka Salio Data Ilikuwa On Wakati Wewe Uliiweka Off
Wana Majibu Mepesi Sana Yaani Unaambiwa System Yao Inaona Data On
Mbaya Inakatwa Kiasi Fulani Tu
 
Hawa ni wasanii sana.
 
Tunalipishwa ongezeko lao la kodi kivingine. Maana sio kwa kuibiana huku
 
Hii Kona Mbaya Sana Waliyotubana
Tcra Kimya
 
Halotel ndio wananileteaga huu mchezo nanunua vocha nkikaa dakika 5 tu wameshakata hata sh 100
 
Haloteli mtandao wao ushaanza kusumbua sana sana...Mpaka kero ..halafu wamepunguza Mb ..Bahama haloteli
 
Voda jamani hadi nilihama bora mtandao pendwa
VodacomTanzania Haya Ni Majizi Yenyewe Yanajibu
Umewasha Data Ingawa Wewe Na Simu Yako Umeweka Off
Yaani Serikali Ya Viwanda Iyakamate
 
VodacomTanzania Haya Ni Majizi Yenyewe Yanajibu
Umewasha Data Ingawa Wewe Na Simu Yako Umeweka Off
Yaani Serikali Ya Viwanda Iyakamate
Kibaya zaidi unajibiwa hivyo alaf unakitochi chako asee voda sio wema kabisa

Kwa kweli hawachochei maendeleo ya viwanda
 
Back
Top Bottom