JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 9,071
- 9,674
nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu. hivi mitandao kama gmail, yahoomail, youtube na mengineyo wanalinda vipi taarifa zao maaana kuna wapinzani wao wa kibiashara wanaweza kwa makusudi kuiba taarifa zao na kupunguza imani kwa watumiaji wao au hata maharamia wa mitandaoni. je taarifa za watumiaji wao ziko salama kiasi gani?