Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,829
- 236,141
Ashukuriwe Mungu fom 4 felia tumekumbukwa kule kwenye upolisi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Jeshini ndio wanajaza tulio fail eeeh ? ndio maana nchi inakwenda kama navyo ona tukianzia na wenye PGO yao
Sio maneno yangu, ni maneno ya Waziri mwenye dhamana😁😁😁 Jeshini ndio wanajaza tulio fail eeeh ? ndio maana nchi inakwenda kama navyo ona tukianzia na wenye PGO yao
Inaonekana mlikuwa hamsomi vijana. Unaogopaje kuangalia matokeo yako ?Sitamani kukumbuka yale maisha[emoji38]
Unaweza pata ugonjwa wa moyo kisa kufungua sr[emoji16]
Mimi nilikuwa naogopa kuifungua Sr tangu naanza hadi namaliza shule.Inaonekana mlikuwa hamsomi vijana. Unaogopaje kuangalia matokeo yako ?
Kuna vitu huwa vinaogopesha au kutia gagaiko na kuogofya si matokeo.
Alisema anatutaka std 7 na fom foo felia maana sisi ni wa kudumu.,tofauti na wa diploma na digriiii.Sio maneno yangu, ni maneno ya Waziri mwenye dhamana
Bila shaka.sio tu kumeza daktari.So wasomi wote wamegundua vitu mkuu?
Barabara ya sita karib na jengo la Kazimoto.... Uje tukuvishe upendeze.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo mitaa gani mkuu?
Ntakuja kuchagua pamba kali nipendeze.
Uzuri mtaani wote tunaanza upya
Yale makaratasi ya shule yanabaki Pembeni,,now tunafuana na mtaa.
Tuombe uzima mkuuBarabara ya sita karib na jengo la Kazimoto.... Uje tukuvishe upendeze.
(Dodoma)
Ipo hapo kati ya ulizomention 😎Makongo, airwing au jiteute mkuu?
Ndio mkuuna bado umeishia kua dalali wa vyumba vya kupanga mwanambaya huko
NshajuaIpo hapo kati ya ulizomention [emoji41]
Niliwahi pata supp kwa kukosa maksi 0.6We acha tu!
Kuna mahala mtu unafika,unamuomba Mungu somo fulani upate hata C tu[emoji16].
Nguvu na umuhimu wa C unaonekana ukishapata sup[emoji3],unatamani japo ingekuwa C.
[emoji38]Niliwahi pata supp kwa kukosa maksi 0.6
Just imagine nilivyo puch upepo kwa ghadhabu[emoji2]
Yaani hizo 0.6 zingenifanya nipate C ya lile somo gumu