Una uwezo mkubwa sana. Congrats!Kitu kizito kilinipiga miaka kadhaa ilopita[emoji23][emoji23][emoji23]
Life is good kwa sasa coz kuna milango mingine nilisukuma na ikafunguka kwelkwel.View attachment 2015270
[emoji38]Huenda nakufahamuHii n College of health and allied science.
Nlikuwa na MD Kabisa ile yenyewe
Sitamani kukumbuka yale maisha[emoji38]uko sawa kabisa, mdau wa udom sr huyu
Kweli hawakuwezi!A wa hisabati [emoji2][emoji2][emoji2]
View attachment 2015100View attachment 2015101
View attachment 2015099
[emoji23][emoji23] nmeacha historia mkuu.[emoji38]Huenda nakufahamu
Ndio maisha mkuu.
Thanks a lot mkuuUna uwezo mkubwa sana. Congrats!
Makongo, airwing au jiteute mkuu?Nilisoma shule zao [emoji23][emoji23] sasa break time ni kustorika nao tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmeacha historia mkuu.
Ila katibu Elly outfits uje upendeze.
Mambo ya microbiology na pharmacology tumeachia vipanga
So wasomi wote wamegundua vitu mkuu?si ndo maana ya kuitwa msomi.
hasa kipindi cha coursework na matokeo, plus sr inakua nzito unaumwa tumboSitamani kukumbuka yale maisha[emoji38]
Unaweza pata ugonjwa wa moyo kisa kufungua sr[emoji16]
Yes mkuu, Chenge product ya Havard ileHongera sana mkuu. Kwa sie form two huo ni muujiza.
Cha kushukuru fursa zilizopo zimejiachia sawa kwa yeyote mwenye kujua namna ya kuzitumia na kunufaika nazo. Ndio maana Chennnggee, Kimmmmmei, Msssukuma na Kibajajjaji wote wapo mjengoni.
Bora hata courseworks nakuwa nishajiandaa kisaikolojia kutokana na mavuno yangu ya tests na assignments.hasa kipindi cha coursework na matokeo, plus sr inakua nzito unaumwa tumbo
Yes mkuu, Chenge product ya Havard ile
Ila msukuma naskia geresha tu jamaa kasomaImagine wanakuja kuketi wote na Mmsukkuma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Imagine wanakuja kuketi wote na Mmsukkuma
Omba nafasi za Jeshidah! mam.ae walahi sie fail hatuna cha kujivunia , tulizingua wenyewe ma class asahivi jua la Dar linatuchakaza kishenzi
Depal ππ
kila ukiwaza sup hauoni mbele kabisa, unaona bora ije ata cBora hata courseworks nakuwa nishajiandaa kisaikolojia kutokana na mavuno yangu ya tests na assignments.
E bana kitu tokeo[emoji1787]
Sr inakata maini acha kabisa..huku Jasho likitiririka mikononi.
πππ Jeshini ndio wanajaza tulio fail eeeh ? ndio maana nchi inakwenda kama navyo ona tukianzia na wenye PGO yaoOmba nafasi za Jeshi
We acha tu!kila ukiwaza sup hauoni mbele kabisa, unaona bora ije ata c