Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Ebu weka cheti chako πππMkuu shule ulienda na mkapendana nayo π
Wengine tulikuwa tu shule kupiga mastory na ma pte + makuruti πππ
Actually n wenyewe [emoji23][emoji23]Huu muundo wa uandishi kama wa Udom Sr vile.
πππππ kweli ulitoka salama hapoNilisoma shule zao ππ sasa break time ni kustorika nao tu.
si ndo maana ya kuitwa msomi.Kumbe tunasoma ili tugundue?
Sr ni zaidi ya stress kuifungua wakati wa matokeo.Actually n wenyewe [emoji23][emoji23]
Sr ni zaidi ya stress kuifungua wakati wa matokeo.
Wale wa diet,Sr ni diet tosha,,,yaani siku moja tu inapunguza mwili[emoji16]
College gani hiyo mkuu??
Bora hata wewe GPA haikutosha..kuna watu wanadisco kwa kushikiliwa bila kuachiwa.
[emoji16][emoji38]Sasa si bora washikiliwe ili wasidondoke??
[emoji16][emoji38]
Mwalimu anashikisha mtu carry over hadi mtu anadisco.
Inauma mno.
[emoji16][emoji38]Agh! Kumbe mambo ya darasani. Nisamehe tu, hapo sina cha kuchangia.
Nikajua roho mbaya unamwachia mtu aanguke.
[emoji16][emoji38]
Upo??
Yaani wewe ni wa kunisusa hivyo![emoji25]
Sikutegemea.
Na hapa ndo patakapoleta maana ya ufaulu huo...Hongera Sana Mkuu,umebakiwa na kazi ya kubadili hiyo Elimu na vyeti vyako kuwa Pesa.
Mkuu shule ulienda na mkapendana nayo π
Wengine tulikuwa tu shule kupiga mastory na ma pte + makuruti πππ
CCNP EngineerA wa hisabati [emoji2][emoji2][emoji2]
View attachment 2015100View attachment 2015101
View attachment 2015099
Ningekwambia ila me mdada unaniitaje mzee π₯Ίmzee skuli ya ma private na recruit wapi hio au KIZUKA
uko sawa kabisa, mdau wa udom sr huyuHuu muundo wa uandishi kama wa Udom Sr vile.
Kweli kabisaNa hapa ndo patakapoleta maana ya ufaulu huo...
Hii n College of health and allied science.Sr ni zaidi ya stress kuifungua wakati wa matokeo.
Wale wa diet,Sr ni diet tosha,,,yaani siku moja tu inapunguza mwili[emoji16]
College gani hiyo mkuu??
Bora hata wewe GPA haikutosha..kuna watu wanadisco kwa kushikiliwa bila kuachiwa.
A wa hisabati [emoji2][emoji2][emoji2]
View attachment 2015100View attachment 2015101
View attachment 2015099