Kwani hizo Gharama aliyekuwa anazilipa kabla ni nani? kama kina Mengi Channel Ten walikuwa na uwezo wa kuendesha hiyo mitambo ndio mmewalazimisha waache kuwasha? na kama hiyo Mitambo ni Gharama kuiendesha hivyo mmeamua hizo Gharama mziamishie kwa Watanzania Masikini? Hogereni kwa hilo na Mi roho yenu Michafu...Kulingana na ratiba iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano, na Mipangilio ya Kuelekea Dijitali kabla ya Ukomo Wa Analojia tarehe 17 June 2015, hakuna mpango wowote wa kuwasha mitambo ya analojia kwani gharama za kuendesha mifumo yote miwili ni kubwa na hakuna wa kuzigharamia kwenye maeneo ambayo yana dijitali.
Ina maana hujaona kuwa ni verified user!
Na mie nilijua anatoa taarifa, kwa mujibu wa heading, kumbe anaulizaBasi kwenye heading yako ungeweka alama ya kuuliza......mimi nimejua ndio unatuhabarisha........
Ina maana hujaona kuwa ni verified user!
Nimekuelewa ,jibu hilo ni kutoka mamlaka husikaWengi wetu tunatumia simu. Si rahisi kuona yote hayo.
Ina maana hujaona kuwa ni verified user!
Wakati mwingine watu wanaona kbs ni mtu toka Mamlaka husika kaja kujibu hoja
Wanakuwa hawaamini V Member nadhani hajui maana yake kwa kanuni za JF.
Hawakujiandaa wala kuandaa wananchi!Kwani hizo Gharama aliyekuwa anazilipa kabla ni nani? kama kina Mengi Channel Ten walikuwa na uwezo wa kuendesha hiyo mitambo ndio mmewalazimisha waache kuwasha? na kama hiyo Mitambo ni Gharama kuiendesha hivyo mmeamua hizo Gharama mziamishie kwa Watanzania Masikini? Hogereni kwa hilo na Mi roho yenu Michafu...
Hata mimi nilisikia Tetesi kuwa JK atalazimisha kurejesha Analojia hadi hapo wananchi watakapokuwa tayari kwa Mambo ya Digital.... Hivi Ving'amuzi feki vya kichina vya Star Time ni kama wizi tu.. quality mbovu vipindi vibaya
Post na majibu haya ni rasmi kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania. Account hii ni halali Na Admin anaweza kuthibitisha.
Shukrani.... I wanted to confirm this!Post na majibu haya ni rasmi kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
Sikuwa na tatizo na akaunti yako ila tu mamlaka ya uliyoongea kama ni maoni yako au TCRA.Account hii ni halali Na Admin anaweza kuthibitisha.
At least hata kama siyo yeye tuna uhakika kuwa "ametumwa na yeye" 🙂Kwa hiyo we ni Ennocent Mungi?
Ni Mimi Wakuu!
Habari wana jamvi ni jumatatu nyingine tulivu watu mbalimbali wakiwa katika mihangaiko ya kujitafutia riziki.swali langu wana jamvi je ni kweli mitambo ya analog kuwashwa tena?
Sent from my GT-N7000 using Tapatalk 2[/
Nchini Uingereza pamoja na kuwepo na Digital,Analogy bado inafanya kazi.kwa wale wenye TV zisizo na uwezo wa Digital bado wanakula maisha. Sijajua kama walizima Analogy kwanza kabla ya kuwasha ya Digital then wakawasha tena Analogy au vp. The same inaweza apply huku.
Ingekuwa busara ni kiungo cha uzazi, wewe ungekuwa huzai..unamuuliza nani sasa? Kama huna cha kufanya nenda kalale ili ukue.