Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,663
Kwani hizo Gharama aliyekuwa anazilipa kabla ni nani? kama kina Mengi Channel Ten walikuwa na uwezo wa kuendesha hiyo mitambo ndio mmewalazimisha waache kuwasha? na kama hiyo Mitambo ni Gharama kuiendesha hivyo mmeamua hizo Gharama mziamishie kwa Watanzania Masikini? Hogereni kwa hilo na Mi roho yenu Michafu...Kulingana na ratiba iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano, na Mipangilio ya Kuelekea Dijitali kabla ya Ukomo Wa Analojia tarehe 17 June 2015, hakuna mpango wowote wa kuwasha mitambo ya analojia kwani gharama za kuendesha mifumo yote miwili ni kubwa na hakuna wa kuzigharamia kwenye maeneo ambayo yana dijitali.
Hata mimi nilisikia Tetesi kuwa JK atalazimisha kurejesha Analojia hadi hapo wananchi watakapokuwa tayari kwa Mambo ya Digital.... Hivi Ving'amuzi feki vya kichina vya Star Time ni kama wizi tu.. quality mbovu vipindi vibaya