Leo naomba msaada wa mawazo. Ni wapi Tanzania hii ambako kuna shirika linasaidia vijana wenye idea nzuri za biashara na kuwapa funds bila masharti kama ya bank?
Hivi kwa nini mawazo yetu yamekuwa duni kiasi kwamba tunaamini mtu hawezi kufika mahali akapata mtaji wake?Kwani wenye mitaji wao wamepata wapi?Laiti tungejua the dark side of loans,tungekimbia mikopo.Aliyelala usimwamshe,ukimwamsha utalala wewe.
Leo naomba msaada wa mawazo. Ni wapi Tanzania hii ambako kuna shirika linasaidia vijana wenye idea nzuri za biashara na kuwapa funds bila masharti kama ya bank?