Mitaani: Ni Ijumaa ya lala salama....

Wiyelelee

JF-Expert Member
Nov 9, 2012
1,071
347
Kisasa1.jpg 68476_10152444870295416_1500951010_n.jpg Watoto.jpg

Ijumaa ikifika, kunakuwa maandalizi haya kwaajili ya weekend....
 
Haya maandalizi ni ya hii picha ya mwanzo kushoto?! Hii picha ya mwanzo, kama ni kweli unakutana na wadada wa namna hii, dawa yao ni viboko tu vingenevyo watakuwa wanatuchafulia jamii.
 
Da hiyo picha ya katikati naona jamaa kabanwa balaa sijui kama hewa inapita !!!
 
Sheria gani/haki gani imevunjwa kwa kuvaa vile. Just tell us objectively!
Hajaivunja hii mkweli huyo??

Haki ya faragha
na usalama wa
mtu
Sheria ya 1984
Na.15 ib.6
16
.-(1) Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi
kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake na
unyumba wake, na pia heshima na hifadhi ya maskani yake na
mawasiliano yake ya binafsi.
 
hizi haki zingine hazina maslahi kwa jamii ni uzuzu tu,mtu kuvaa hivyo ni haki loh!!!!!
 
Hajaivunja hii mkweli huyo??

Haki ya faragha
na usalama wa
mtu
Sheria ya 1984
Na.15 ib.6
16
.-(1) Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi
kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake na
unyumba wake, na pia heshima na hifadhi ya maskani yake na
mawasiliano yake ya binafsi.

Mtu mwingine akikufanyia hivyo. Lakini ukijifanyia, sidhani kama ibara hiyo can be interpreted that way. Sijui kama kuna sheria ya "indecent" and what is/are an indecent act(s)! Anyway, nunachotaka kueleza ni huku kuwachapa viboko wadada eti wamevaa nguo fupi! Uvunjaji wa haki za binadamu na utawala mbaya unaanzia hapo!
 
Back
Top Bottom