Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,901
- 16,213
- Thread starter
- #21
Ila kilometa 450 za Dar hadi Dodoma ni nyingi, haitakauka kweli miti yenyewe 😂Maoni yangu serikali ingepanda miti kwenye huo uzio wa SGR ingependeza sana kuliko kuacha vijiotee vichaka pori tu.
Ila kwa mazingira ya mjini wangepanda miti mingi sana. Jua linatesa watu, huwezi kuenjoy jua likiwa kali af hamna miti
Na Dodoma pia waizingatie. Panahitaji miti mingi sana