Mitaa flani ya muscat

Ngongoseke

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
3,203
1,462
Semeni hapo tz lini tutafikia barabara hizi?
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1355914392940.jpg
    uploadfromtaptalk1355914392940.jpg
    130.6 KB · Views: 244
  • uploadfromtaptalk1355914431772.jpg
    uploadfromtaptalk1355914431772.jpg
    125.6 KB · Views: 197
  • uploadfromtaptalk1355914457715.jpg
    uploadfromtaptalk1355914457715.jpg
    98.7 KB · Views: 178
  • uploadfromtaptalk1355914485612.jpg
    uploadfromtaptalk1355914485612.jpg
    112.1 KB · Views: 192
  • uploadfromtaptalk1355914522032.jpg
    uploadfromtaptalk1355914522032.jpg
    80 KB · Views: 176

Attachments

  • uploadfromtaptalk1355918381819.jpg
    uploadfromtaptalk1355918381819.jpg
    85.8 KB · Views: 75
  • uploadfromtaptalk1355918426856.jpg
    uploadfromtaptalk1355918426856.jpg
    75.8 KB · Views: 79
  • uploadfromtaptalk1355918455018.jpg
    uploadfromtaptalk1355918455018.jpg
    101 KB · Views: 83
  • uploadfromtaptalk1355918479974.jpg
    uploadfromtaptalk1355918479974.jpg
    85.9 KB · Views: 76
  • uploadfromtaptalk1355918507985.jpg
    uploadfromtaptalk1355918507985.jpg
    58.3 KB · Views: 75
Shida ni kwamba somewhere nyuma ya majengo haya mazuri, kuna mtu anakatwa kichwa kwa kosa la uzinifu ilhal aliyezini naye yupo kwenye kundi linalotazama.

Huo mji ni sawa na jeneza, ndani kuna maiti. Tumaini la maisha linasongwa na imani iliyojaa giza. Hakuna uhuru wala furaha ya maisha hususan kwa jamii ya wanawake. Uzuri wa jiji haushabihiani na tabasamu katika nyuso za maua (wanawake) wa mji.

View attachment 75806
 
Wewe kweli hijitambui,hii ni oman na sio Iran wala saudia,
 
Shida ni kwamba somewhere nyuma ya majengo haya mazuri, kuna mtu anakatwa kichwa kwa kosa la uzinifu ilhal aliyezini naye yupo kwenye kundi linalotazama.

Huo mji ni sawa na jeneza, ndani kuna maiti. Tumaini la maisha linasongwa na imani iliyojaa giza. Hakuna uhuru wala furaha ya maisha hususan kwa jamii ya wanawake. Uzuri wa jiji haushabihiani na tabasamu katika nyuso za maua (wanawake) wa mji.

View attachment 75806

Kila watu wana utamaduni wao na maadili yao,kwa hiyo kama wewe nchi yako haina utamaduni au imekaa na utamaduni wa kucopy waache wenye utamaduni wao waishi,hapa tunazungumzia maendeleo ya mji sio watu
 
tuna gesi natural, tuna dhahabu,tanzanite,mlima kilimanjaro na mbuga zote lakini hadi leo hatuna cha kujivunia zaidi ya ufisadi
mafuta bila uongozi thabiti na sheria imara hatufiki popote
mfauta yapo na yashapatikana fedha ziko uswizi
Inshallah nasi tukipata mafuta kama wao
 
Na we Shizukan aliyekwambia Oman wanawake wanafugwa nani? Mbona kuna manight club na wenye tabia za kujirusha wanajirusha mpaka majogoo. Usizomokezomoke tu wala hujui nchi za watu, Kwenye Gulf countries nchi iliyokuwa bora kuishi basi number 1 ni Oman, haya njoo nakukaribisha
 
Mwambie huyo akisikia nchi ya kiarabu tu akili inawaza udini tu
 
Back
Top Bottom