Hebu fikiria wakat wa ku do kama bao lingekuwa linatoa mlio kama wa bunduki nauhakika wa2 weng wangeshkwa ugoni,na usiku mitaani ingekuwa kero kwa sababu kuna wengne wanafunga mpaka goli nne uko gest ingekuwa balaa au kwenye uchochoro.ingekuwa ni paaah paah teh teh.